Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Wachawi wangekua wanawachukua mawaziri kama Mwigulu Nchemba, Nape Nnauye, Makamba, Dotto Biteko, Zungu, Mchengerwa, Kassim Majaliwa na mama yao Samia wanawalimisha heka 50 kila wiki. Hii nchi debe la mahindi lingekua elfu 8
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… jamaa alitokomea kihanga, hivi rumanyika ndiyo bweni lile kama hall, wameweka vitanda? Afu kwa pembeni kushoto kuna vibweni vingine vidogo vidogo?

Jina lake mashuhuri nimelisahau hilo bweni ila nimejifunzia volleyball pale.
Maarufu kama Karakana maana zamani lilikuwa Karakana ๐Ÿ™‚๐Ÿ™‚,
 
Aliishi lakini?
 
Huwa nawashangaa vijana wanalalamikia story utazani hawana kazi za kufanya,mi nikikuta story nasoma mtunzi asipoweka nakausha siku nikiikuta nasoma tena ,asipoiweka muda mrefu naisahau kama kulikuwa na story nafatilia maendelea kuperuzi vingine
Me mwenyewe Sina mda wa kulalamikia vitu ambavyo ni kupita au kufikirika. Ni ujinga
 
Umepiga karaseko mzee, huyo hakunawa miguu baada ya kutoka organic akasingizia wachawi vp ticha malezi hakumtafuta
 
Hujaishi bush wewe alafu unaleta ujuaji bushi mkuu wa shule ni kama mkuu wa kituo cha polisi ndani ya school premises anatandika adi wazee wako na wanasema hewala baba
 
Nani akatize miembeni saivi thubutuuuu ๐Ÿƒ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿผโ€โ™€๏ธ! Nje tu sitokiii! ๐Ÿ˜
Huo ss uoga jirani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,wenzio hao tunakatiza na kichwa cha cherehani kichwani
mmash Story ikiisha itabidi Umughaka atupe mbinu za kuzuiaa wangaa/ wachawi/ watu wabayaa
Sio kuwazuia tu,mm nashauri tupate japo nafunzo ya ziada kidogo tuweze kuingia japo ndani na kutoka nje kwa kupitia ukutani km Monie๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ