Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

jamani leo timu ya arsenal inacheza tena na jana nilikua naangalia game za UEFA hivyo sitoleta muemdelezo mpaka kesho kutwa[emoji23][emoji119]
Ni kama vile nipo mahabusu, na ni siku ya Ijumaa. Dhamana, inamsubiri OCS wa hicho kituo. Inafika saa saba mchana, naambiwa ameenda harusini, hivyo dhamana mpaka Jumatatu!
Wenye dhamana, MUWE NA HURUMA!
 
Hata mimi hili pia niliwahi kulisema, mtu akishaona watu wengi wanafatilia basi dharula zinaanza, mara mke wangu kajifungua mara sijui nini
 
Hata mimi hili pia niliwahi kulisema, mtu akishaona watu wengi wanafatilia basi dharula zinaanza, mara mke wangu kajifungua mara sijui nini
Uzuri ni kuwa humlipi,humchangii bando,hujui maisha yake hivo si vema kuanza kumsema vibaya ni vema ukashukuru kwa kidogo unachokipata.....sisi wanadamu ni wazuri wa kuona makosa tu lakini mafanikio hatuyazungumziii hivo msimpangie mleta uzi huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…