Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
NIMEWASHINDA NA WEWE NA HUYO ALIYEENDA KUKUCHAPIA SHULE.🤣Wewe jamaa ni MPUMBAVU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NIMEWASHINDA NA WEWE NA HUYO ALIYEENDA KUKUCHAPIA SHULE.🤣Wewe jamaa ni MPUMBAVU.
Vijana wa siku hizi wanajitia wajuaji sana, they have no idea how much power walimu wa zamani walikua nayo...Mkuu unajifanya mjuaji kwa vyote ilihali hujui. Mimi ni mtoto wa Mwalimu mkuu,nimetandikwa mara kibao tu kwa makosa ya Nyumbani nikiwa Shule! Au makosa ya Shule nachapiwa Nyumbani. Nadhani kama tungekuwa tunatumia uhalisia wa majina Yetu,kuna Watu ninaofahamiana nao wangethibitisha. Siku zote usijifungie Katika kuamini,ulimwengu Huu ni mpana na una mambo mengi,yale unayoyaona Kwako hayawezekani si kwa wote!! Tukiamua tulete shuhuda zetu mbalimbali Katika Jamii Zetu nadhani utaona watu wanatunga!!
Hatupo hapa kushindana. Ila muda mwingine jaribu kuficha upumbavu mbele za watu.NIMEWASHINDA NA WEWE NA HUYO ALIYEENDA KUKUCHAPIA SHULE.[emoji1787]
Stori ya jamaa inaeleza alipigwa shuleni kwa makosa ya nyumbani. Kama una stori tofauti ilete tuisome , sisi wasomaji hatuna tabu na stori ya mtuBasi mzazi wako hakuwa na akili. Yaani umwage mboga nyumbani (mfano) aje akichape assembly? Hakuwa na akili inawezekana aliathiriwa na Bhangi au Pombe. It doesnt make sense. Lakini mbaya zaidi kama wewe si Mwanafunzi ukosee nyumbani akuite assembly akuchape. Hivi ninyi mnaelewa hoja yangu au mnatajipendekeza tu mkidhani jamaa atasusa kuandika hizi stories? Tumieni akili bwana msiwe wavivu
Labda kama ulisoma English medium ushuani huko.Hapo pa kupigwa viboko assembly na wewe si mwanafunzi utunzi wako haujaenda sawa. HAIWEZEKANI. unapotunga jaribu kuwa makini sana ili usitoke sana mbali ya Uhalisia. Haijawahi tokea kosa la nyumbani mtu akaadhibiwe Shuleni tena si mwanafunzi. Hapo uwe makini.
mimi nimesoma 80' hiyo ilikuwa ni kawaida sana.Hiyo ni case tofauti. Wabongo huwa hawajui hata ku reason wanakurupuka sana. Hakuna Mkuu wa Shule ambaye ataleta kesi ya mwanaye ambaye hasomi shuleni tena assembly kushirikisha wanafunzi.hakuna. msiogope kukosoa kwa kuwa jamaa atasusa kuleta story. Hawezi susa. Sema mtamsaidia anapotunga awe anazingatia uhalisia. Msiwe waoga kwa vitu vya kipuuzi.
Uko sahihi kabisa!!mkuu nakusihi uwe unajipima kabla hujafungua mdomo wako kubishana mbele ya wanaume.
watu tumekula fimbo kutoka Kwa watu Baki kabisa majilani wapita njia na hata dada zetu.
Mimi Kuna siku enzi hizo nilileta ujinga shuleni nikapewa adhabu ya kupiga magoti kwenye changalawe Kwa masaa mawili Ile hayajaisha mzazi wangu akawa anakatiza akaniona ikibidi aende ofisini Kwa MWALIMU kuulizia sababu alipoambiwa TU nikiona anakuja na bonge la viboko nilizilamba hapo hapo za kutosha akaongeza lisaa lingine la kwake nje na Yale niliyopewa.
sikuenda shule wiki mbili na nilirudishwa nyumbani Kwa baiskeli na hakuna alitejali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna akili wewe unaebisha mambo ambayo yapo, Hakuna anaejipendekeza kwenye story ila tunakuelezea uhalisia. Halafu ukome na ukome tena!! Wazazi tunawaheshimu usilete laana zako za Ajabu na kipumbafu kusema hana akili. Kukulia sehemu moja pasipo kuzunguka Ndo kunakufanya uwe na akili mgando😏Basi mzazi wako hakuwa na akili. Yaani umwage mboga nyumbani (mfano) aje akichape assembly? Hakuwa na akili inawezekana aliathiriwa na Bhangi au Pombe. It doesnt make sense. Lakini mbaya zaidi kama wewe si Mwanafunzi ukosee nyumbani akuite assembly akuchape. Hivi ninyi mnaelewa hoja yangu au mnatajipendekeza tu mkidhani jamaa atasusa kuandika hizi stories? Tumieni akili bwana msiwe wavivu
Ana utoto,usikute tunajibizana na kitoto cha 2000😂😂Hatupo hapa kushindana. Ila muda mwingine jaribu kuficha upumbavu mbele za watu.
Halafu tubishi Ajabu😅😅Vijana wa siku hizi wanajitia wajuaji sana, they have no idea how much power walimu wa zamani walikua nayo...
Acha nyege utagegedwa kimasihara mayoBunju Kuna nn mkuu mbna mitaa yangu njoo hapa uwanjani kwenye Malory bunju b mm naangaika kuchungulia story kumbe upo jirani tu hapa nnjjoo nisimulie tu tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha nyege utagegedwa kimasihara mayo
Omughaka anazingua , achia mzigo wote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]