Tulichomfanya yule mchawi hatakuja kusahau kamwe

Kuandika simulizi siyo jambo rahisi kama inavyochukuliwa...

Jaribu tu kuandika 'episode' moja tu simulizi kama za humu JF, hata kwa kunakili, utajuwa ugumu uliopo (hususani kwenye kuchukuwa muda)

Katikati ya simulizi, ni kawaida kwa JF members ku support kwa namna tofauti ikiwemo LIKE, KURA, maneno ya kutia moyo au maneno ya kuudhi au kukatisha tamaa, yote hiyo ni kama kuchangamsha baraza, sidhani kama kuna watu wanakuwa 'serious' kihivyo.

Lakini pia kuna hawa 'much know', hahahha!

Nakupa Kongole sana kwa simulizi nzuri ya kusisimua.

Umetumia mtindo wa mtiririko wa moja kwa moja ambao wasomaji wengi hupenda na kusimulia katika nafsi ya kwanza.

Binafsi nimeifuatilia mwanzo mwisho hasa baada ya mdau Sierra One kuweka links vizuri na kurahisisha ufuatiliaji.

Ninajuwa fika kuna mengi hujaandika, labda kwa kutaka kufupisha ili iishe mapema, au (na) kubanwa na majukumu mengine ya kila siku. "Tumejazia wenyewe hayo mengine"

Bila shaka 'codes' zilikuwa sawasawa.

Kongole kwako UMUGHAKA
Vipi, wewe unaendeleaje? Simulizi yako ni moja kati ya simulizi maridadi nilizozifuatilia! Kongole kwako! Hamida anaendeleaje?
 
Leo Usiku nitaanza Kusimulia kisa cha kusisimua na cha ukweli kabisa JINSI AMBAVYO KAMANDA MSTAAFU WA JW ALIVYOTUMIA NGUVU ZA GIZA KUWAPIGA M-23

jinsi gani alikuwa anatumia uchawi kujua walipo waasi

Jinsi gan alikuwa na machale

Jinsi gan askari wake walikuwa wakipigwa risasi hawafi

Jinsi gan alitumia bundi kama drone na mengine mengi

Story hii inasehemu 9 nimeshaandika 7 baadae nitapest tu humu saa 4 kamili usiku

Asanteni
 
Karibu sana
 
Anzisha uzi wako. Usi paste kwa uzi wa mwenzio.
 
Kasome kisa Cha Jack Daniel jamaa alitema story yake nzuri bila shida story hiyo Ni Moja ya story nilioipenda Sana hapa jf pmj na jamaa aliyetoa mkasa wa bomu za mbagala hzo story Ni Kali haswa

Aise huyu jamaa aliyetoa visa vya mabomu ya gongo la mboto na yeye yupo vizuri sana mkuu.
Alikutana na visanga vya kutisha.
Ile story ni noma.

Usilogwe ukaondoka kwenu ukaenda mkoa usipopajua...

🙌🙌🙌
 
Leo Usiku nitaanza Kusimulia kisa cha kusisimua na cha ukweli kabisa JINSI AMBAVYO KAMANDA MSTAAFU WA JW ALIVYOTUMIA NGUVU ZA GIZA KUWAPIGA M-23

jinsi gani alikuwa anatumia uchawi kujua walipo waasi

Jinsi gan alikuwa na machale

Jinsi gan askari wake walikuwa wakipigwa risasi hawafi

Jinsi gan alitumia bundi kama drone na mengine mengi

Story hii inasehemu 9 nimeshaandika 7 baadae nitapest tu humu saa 4 kamili usiku

Asanteni
Mkuu saa nne tayari

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Kwa mara ya kwanza Hadithi inasimuliwa hadi kufikia Tamati, wengi huja na Visa vyao lakini huishia kutoikamlisha.

Hongera sana Mkuu UMUGHAKA Kuna visa hapo umesimulia umefanya nikumbuke mbali sana. Kweli tunaishi Kwa Imani 🙏🙏
Inaonekana amekugusa sana mkuu Shea nasi kidogo kama hutojali !
 
Leo Usiku nitaanza Kusimulia kisa cha kusisimua na cha ukweli kabisa JINSI AMBAVYO KAMANDA MSTAAFU WA JW ALIVYOTUMIA NGUVU ZA GIZA KUWAPIGA M-23

jinsi gani alikuwa anatumia uchawi kujua walipo waasi

Jinsi gan alikuwa na machale

Jinsi gan askari wake walikuwa wakipigwa risasi hawafi

Jinsi gan alitumia bundi kama drone na mengine mengi

Story hii inasehemu 9 nimeshaandika 7 baadae nitapest tu humu saa 4 kamili usiku

Asanteni
fungulia uzi wake ili iwe na mtiririko mzuri
 
Back
Top Bottom