Tulifika Dar saa 9 usiku kutoka Zanzibar, kitu cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi

Hata tz inafanyika kwenye mabenki mbona ama umekariri. Pia mashirika ya ndege yako juu mno kihuduma na wanajali mno kuliko business modal yoyote pia Kuna magari yameshawahi kurudishwa japan ya Toyota Mana yalikuwa na mushkeri fulani
 
Uhamiaji hawafanyi kazi muda huo.
 
Ukiona hauna tatizo utajua ni rahisi ila sio kazi ndogo kama ulivyoandika hapa ukitaka ujue hiyo ni kazi ngumu angalia Wasomali wanavyosafiri kwenye mazingira magumu sio kama hivyo apande bus tuu haitafute Tunduma hawezi kufika mkui...Dodoma wangejaa majasusi
 
Hio ya benki mbona hata bongo ipo hivyo,,,, muda wa kufunga ukikukuta upo ndani ya benki lazima uhudumiwe sema watafunga milango wa nje hawataweza kuingia
 
Ni nchi mbili tofauti zenye tofauti kwenye forodha inangawa wote wapo kwenye shirikisho la africa mashariki.
 
Pole, unajuwa taratibu huwa zinalenga kurahisishaa maisha na si kuyafanya yawe magumu.
 
baad ya ajal ya mv spice serkal walieka shelia kukataz vyombo kutmbea usiku ajil amna uokoaj wa mapem ikitokea ajal sas si unajua wabongo boat za mana nying znafnya kaz mchan usiku boat zakutaftia rzk yan awe acha abiria wanakula vchwa ad usiku ila inabd awagandshe afanye afnyavyo cz get bandarin wanafngua sa12 kwaiy ukipand usik jua unavnja shelia ht ikitokea ajal ngum kuokolewa manak washaek zuio safar mwisho sa3 usik lakn sa6 ht ukipand utasbir tu ad 12 boat zenyew znakwep mkon wa sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…