Tulifika Dar saa 9 usiku kutoka Zanzibar, kitu cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi

Tulifika Dar saa 9 usiku kutoka Zanzibar, kitu cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi

We mwenyewe maskini,
umechelewa, ukapanda boti la usiku.
Umeshindwa nini kulala Hotel uondoke kesho?
Ndege hazipo kwanza?
We ni Maskini kuliko hata hao unaita Maskini

1. Kwanza hakuna ndege ya usiku kutoka Znz kuja Dar
2. Watu wa kipato cha kati hupenda kusafiri usiku ili mchana waendelee na ratiba nyingine za uzalishaji
3. Kulala huko mahotelini ni kipaumbele kwa matajiri lakini pia kwa masikini wasio wazia chochote cha maendeleo.
4. Kwa namna mtoa mada alivyo andika sio masikini; ni mtu focused kutafuta maokoto
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Acha uchokozi!
Wakati natembea na boat wewe hata kamasi ulikuwa huwezi kupenga hakyanani. Hivi 2000 ulikuwa unanyonya bado?[emoji28][emoji28]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Narudia tena...

NAKUHESHIMU Shem Bae.
 
Kuna boat ya kutoka Zanzibar saa tatu usiku inatembea mwendo mdogo sana inaingia Dar saa tisa usiku. Abiria hamruhusiwi kuteremka Hadi ifikapo saa kumi na mbili asubuhi.

Ni boat nzuri na ya kisasa, sema Kuna mende wengi kwenye ile boat sijapata kuona... Sijui wahusika hawajaliona hilo
Mende tena, woiiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nitaenda Zbar, maana promo ya zenji imewekewa mkazo sana awamu hii. Ila naamin awamu ikiishi na zenji inarudi kusahaulika.
 
Nadhani ulipanda meli maana boat karibia zote speed yake ni masaa mawili ama matatu uko Dar na kuna mpaka za dk 45

Sent using Jamii Forums mobile app
20231224_095052.jpg
 
Tutumie common sense, boti ya kukaa masaa matano badala ya one hour baharini la kazi gani?

Sifanyi biashara hii.
Nimeshangaa maana umbali kutoka Ubungo-Chalinze ni KM 93 sawa na 40 Neutical miles za Dar -Zanzibar
Kwa gari inayokwenda 40 KM/hr itafika Chalinze mapema kuliko Meli kutoka Zanzibar- Dar (6 hrs)

Nani anapanda hiyo meli? Ni sawa tu wakilala majini, hakuna common sense
 
Kikubwa ni usalama wa abiria na Mali zao,Ile meli inabena wafanyabiashara wakubwa kutoka Pemba inapita unguja kuja daslam
 
Back
Top Bottom