Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Nimeshangaa sna nilienda Zanzibar na boat almost 3 hrs tulikua zanzibar na kurudi pia..Nadhani ulipanda meli maana boat karibia zote speed yake ni masaa mawili ama matatu uko Dar na kuna mpaka za dk 45
Sent using Jamii Forums mobile app