Tulifika Pabaya: Mwenyekiti Ulinzi na Usalama Wilaya eti ni Jambazi?

Ikisoma taarifa ya Wikipedia .ukagoogle pan-africanism( mashujaa wa afrika) wapo 13. Tz yupo Mwl. Nyerere na wa pili ni DR. John magufuli wengi walishapoteza maisha. Mf nkwame nkuruma(ghana) ,empior hile selasi, robert mgabe, thomas sankara,nyerere, ghadafi, aniye hai ni mmoja tu ndio anaisho wote waliaga dunia. Yoweri mseveni wa uganda ndiye shujaa aliyebaki ambaye mwanafunzi MWL.Nyerere. Lakn. Mashujaa wote 13 dokta ni mmoja tu . Ambaye Dkt. Johm pombe magufuli shujaa wa afrika na chuma na kiboko wa mabebere, alikuwa akimfokea tu mkurugenzi mabeberu walitetemea Ulaya na amerika.
 
Huu ushuzi wako hakuna utakayemshawishi,jambazi linatetea jambazi mwenzake
 
Pole mjane
 
You are completely getting stunt
 
Roho mbaya kabisa hakika waafrika niviumbe madhalimu kabisa japo si wote
Sabaya kakosea wapi!! hii story inanikumbusha sana story ya yesu ama nabii issa kuna mengi ya kujifunza hapa mtu alijitoa kwa dhamila na ushupavu kuwatetea watu kupambana na mambo yaliyokua yanadidimiza ustawi na jamii mfano biashara za magendo kusimama na watu walio dhulumiwa haki zao ujambazi ufisadi na unyonyaji kwa kauli thabiti bila siasa za ubabaishaji wala uaoga leo amekua diktete hivi nikiongozi gani tunaye mtaka sisi!
Ama hakika ukitenda haki kuna makundi mawili ukombozi kwa walio haki
wasio haki kuumia
Leo wasio haki wameungana kumzushia na kumtesa kijana wa watu!
Sio kwako tu sabaya haya yamewakuta hata walio kutangulia tena mitume na manabii sembuse wewe! chuki zao sasa ziko bayana
dua zetu ziko mbele yako sabaya
HAKIKA MWENYEZI MUNGU ATAKULIPIA AMIIN.
 
Mtatajana tu awamu hii😂😂😂😂😂
 
Wale jamaa wamenyamaza kimya utadhani wanemwagiwa maji. Waliyaona lakini waliyanyamazia na kuendelea kuyasifu na kuyapamba. Ama kweli wakati sasa unasema.
 
Yani mataga bhana hamtaki kuamini
 
Hili la sabaya kwa sasa ni tuhuma ambazo msingi wake kwa wengi ni kisasi tu. Na hapo ndio tunaona mama ni msaliti wa magufuli kwa kumtupa lupango kada wa ccm aliyetimiza wajibu wake hadi kuking'oa chama cha upinzani kwenye jimbo. Wana ccm kiitikadi wana shaka na samia. Hawana imani nae.
 
Labda hawa ndiyo walikuwa watu wasiojulikana
 
Asante sana mkuu, nitaanza kurudisha uzalendo kwa nchi yangu kama haya usemayo ni ya kweli.
Tumpongeze bimkubwa kwa uthubutu huu mtu katoka ofisini kama mkuu wa wilaya baada ya wiki mbili anaonekana kachuchumaa kuingia kortini. Bimkubwa hawezi kufanya yote tunayotaraji ila approaching yake tunaiona sio mbaya. Kumbuka kuhusu kitalu c cha mererani kifupi mayowe mengi yalikuwa yanapigwa na alikuwa anaenda kuliliwa na watu wengi ila hakuwa na namna ya kufanya lazima atakuwa na data nyingi ndo maana akasema macho yangu wanasema mazito lakini yanaona.
 
Tunamwomba Mungu kama kweli anayoshitakiwa huyo Ole ni ya kweli apigwe pigo takatifu.
 

uliona gari lililompeleka mtuhumiwa mahakamani[emoji23][emoji23][emoji23]

haya mambo ukituliza wenge,utaona ni vyema kufatioia ziara ya mbowe na kutoa mchango wa ujenzi wa ofisi kuliko kupoteza muda na wasanii wa kiccm.
 
Sijamaliza hata kusoma huu ujinga ulioandika hapa. Uliona wapi mkuu wa wilaya akawa mkusanya kodi katika nchi hii. Huko TRA mkuu wa wilaya anahusika vipi?

Haya matanzania majingamajinga yenye tabia za interahamwe sijui yametokea wapi?

Mtanzania wa aina gani unaweza kutetea viongozi majambazi wa aina ya Sabaya.

Inawezekana wewe ni miongoni mwa mabaunsa wake aliyesahaulika kukamatwa.
 
uliona gari lililompeleka mtuhumiwa mahakamani[emoji23][emoji23][emoji23]

haya mambo ukituliza wenge,utaona ni vyema kufatioia ziara ya mbowe na kutoa mchango wa ujenzi wa ofisi kuliko kupoteza muda na wasanii wa kiccm.
Nimeiona hiyo Mkuu, tunapigwa changa la macho. Mpaka tukae sawa movie imekwisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…