Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Lengo ilikuwa kuumiza wachaga na alifanikiwa kwa kiasi kikubwa snHuyo Mhuni aliwekwa pale HAI kimkakati Magufuli alikuwa anayajua yanayotendeka huko na aliyafurahia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lengo ilikuwa kuumiza wachaga na alifanikiwa kwa kiasi kikubwa snHuyo Mhuni aliwekwa pale HAI kimkakati Magufuli alikuwa anayajua yanayotendeka huko na aliyafurahia
Makonda na Mnyeti ndiyo hatari zaidiYule ni zaidi ya Sabaya, ametesa watu sana , Ameua watu ukigombana nae kidogo unajikuta kwenye kiloba coco beach ,amebambikia sana watu case za drugs wanakuja kwako wanafanya search wanakuwekewa ili ufungwe
GSM na the late dr Mengi ndio walikamuliwa hela zao Mpaka Basi
7baya ni lofa anaiba hadi tecno kwa bunduki. Kibaka kabisa huyuDC kaiba simu na pesa 35,000 kwa kutumia silaha.
Armed robbery ndiyo hutumika kutuliza vibaka uswahilini, ukiwa ingia toka O'bay au Mabatini haziishi wanakupa hiyo utulie kwanza.
Niliwaza kama wewe. Nadhani hii ni kiki ya kisiasa tu.CCM haiwezi kumtupa Ole Sabaya, alipelekwa Hai kuhakikisha Mbowe harudi bungeni. Amelitekeleza vyema jukumu lake.
Usishangae kuwa sasa hivi Ole Sabaya ana cell yake na chakula anakula cha nyumbani. Wewe ulisikia wapi mahabusu anamvimbia mkuu wa gereza.
Jiandaeni kumlipa Sabaya gharama za usumbufu kupitia kodi yenu.
Ni kama unasema kundi la mama ni waongo sio? Jichunge na maoni ya hivi! au unadhani mzalendo namba moja yuu hai.Kuna uongo mwingi hapa kwa sababu sasa liko kundi lenye uoga kwa matajiri wakwepa kodi na wazungu washenzi wezi wa Mali za umma.
Sabaya katolewa Kafara tu kwa kumtungia kesi za uongo kwa sababu ya wenye pesa kuweka nguvu ktk kila sehemu panapo mshutumu Sabaya ili aangamizwe,kwa ninavyo wajua waTanzania matajiri ni kweli wakati Sabaya akiwawajibisha kulipa kodi siamini kama aliwaonea,hao hua ni wakwepa kodi wakubwa kwa nguvu za pesa wanahonga kuvusha mizigo yao ya kibiashara
Swala la Hayati JPM linaendelea kushutumiwa kwa uongo na nina hakika 90% ya wanaozusha haya ni watu wa Kaskazini wabinafsi na wapigaji...ni ngumu sana kuondoa upendo wa JPM kwa watu zaidi ya 85% hapa nchini isipokua ni watu wasio sema sema wala hawaingii mitandaoni.
Nchi hii mtu ukiwa mkali na kutetea wengi wasinyonywe na wachache unaitwa dikteta,ukiwa mpole na watu wanaiba wanafurahi na wale wasio na mianya ya kuiba wanakuita dhaifu
Tanzania ni nchi yenye watu wasiojua wanatakaga nini.
JPM alifanya Sana Mambo ya kihuni kwenye uteuzi, aliongoza kwenye utumishi wa umma vibaka na wahuniwahuni wengi Sana serikalini.Mambo yaliyofanywa na sabaya ni zaidi ya uhuni...
Ingekua ni mpango asingemdindia Mkuu wa Gereza in fact zingevujishwa stori za anapata tabu sana.Niliwaza kama wewe. Nadhani hii ni kiki ya kisiasa tu.
Tungoje tuone.
Mimi sitaamini mpaka yatimie asee. CCM sio kabisa, hawafai kuwa duniani.Ingekua ni mpango asingemdindia Mkuu wa Gereza in fact zingevujishwa stori za anapata tabu sana.
Kumdindia means yupo kwenye denial haamini kinachotokea.
Kuna uongo mwingi hapa kwa sababu sasa liko kundi lenye uoga kwa matajiri wakwepa kodi na wazungu washenzi wezi wa Mali za umma.
Sabaya katolewa Kafara tu kwa kumtungia kesi za uongo kwa sababu ya wenye pesa kuweka nguvu ktk kila sehemu panapo mshutumu Sabaya ili aangamizwe,kwa ninavyo wajua waTanzania matajiri ni kweli wakati Sabaya akiwawajibisha kulipa kodi siamini kama aliwaonea,hao hua ni wakwepa kodi wakubwa kwa nguvu za pesa wanahonga kuvusha mizigo yao ya kibiashara
Swala la Hayati JPM linaendelea kushutumiwa kwa uongo na nina hakika 90% ya wanaozusha haya ni watu wa Kaskazini wabinafsi na wapigaji...ni ngumu sana kuondoa upendo wa JPM kwa watu zaidi ya 85% hapa nchini isipokua ni watu wasio sema sema wala hawaingii mitandaoni.
Nchi hii mtu ukiwa mkali na kutetea wengi wasinyonywe na wachache unaitwa dikteta,ukiwa mpole na watu wanaiba wanafurahi na wale wasio na mianya ya kuiba wanakuita dhaifu
Tanzania ni nchi yenye watu wasiojua wanatakaga nini.
Umbwa kala umbwawenyeviti wa kamati za ulinzi na utekaji[emoji28][emoji28][emoji3059]
Swadakta ! Nani alimteka MO ?Yule mzee alikuwa jambazi pia,ndiyo maana akaingiza genge lake la majambazi kwenye utawala wake
Yule Shujaa wa Mazezeta alitaka kutugawa kimakabilaLengo ilikuwa kuumiza wachaga na alifanikiwa kwa kiasi kikubwa sn
Alikuwa mtu wa hovyo snYule Shujaa wa Mazezeta alitaka kutugawa kimakabila
Taifa lililounganishwa na Mwalimu Nyerere alitaka kulibomoa kwa kisingizio cha kujenga NchiAlikuwa mtu wa hovyo sn
Mungu siyo fala akaona amuondoe mapema snTaifa lililounganishwa na Mwalimu Nyerere alitaka kulibomoa kwa kisingizio cha kujenga Nchi
Kazi ya kukusanya kodi si ya RC. Kama kuna aliwakamata na kuwapeleka kwenye vyombo husika kwa kukwepa kodi basi upo sahihi kama alikusanya pesa kwa kisingizio kuwa anachukua kodi haupo sahihi. Ushahidi utamhukumu.Kuna uongo mwingi hapa kwa sababu sasa liko kundi lenye uoga kwa matajiri wakwepa kodi na wazungu washenzi wezi wa Mali za umma.
Sabaya katolewa Kafara tu kwa kumtungia kesi za uongo kwa sababu ya wenye pesa kuweka nguvu ktk kila sehemu panapo mshutumu Sabaya ili aangamizwe,kwa ninavyo wajua waTanzania matajiri ni kweli wakati Sabaya akiwawajibisha kulipa kodi siamini kama aliwaonea,hao hua ni wakwepa kodi wakubwa kwa nguvu za pesa wanahonga kuvusha mizigo yao ya kibiashara
Swala la Hayati JPM linaendelea kushutumiwa kwa uongo na nina hakika 90% ya wanaozusha haya ni watu wa Kaskazini wabinafsi na wapigaji...ni ngumu sana kuondoa upendo wa JPM kwa watu zaidi ya 85% hapa nchini isipokua ni watu wasio sema sema wala hawaingii mitandaoni.
Nchi hii mtu ukiwa mkali na kutetea wengi wasinyonywe na wachache unaitwa dikteta,ukiwa mpole na watu wanaiba wanafurahi na wale wasio na mianya ya kuiba wanakuita dhaifu
Tanzania ni nchi yenye watu wasiojua wanatakaga nini.
Kweli..ndo alikuwa anateka matajiri kina Mo anawadhulumu pesa. Walimsomea dua mbaya wale..imemuondoa. ilibidi afe tu, watu wengi sana walimsomea dua mbaya, kuanzia ndugu ya waliouawa,waliofukuzwa kazi eti vyeti feki, waliotekwa, waliodhulumiwa uchaguzi.. ilibidi afe. Na amekufa!Yule mzee alikuwa jambazi pia,ndiyo maana akaingiza genge lake la majambazi kwenye utawala wake
Sio rahisi..unamchukulia poa sana Mama Samia. Sabaya alivyokuja Dar kuongea na clouds alitaka aende ikulu akaongee na mama..kilichomkuta ni mikausho mikali na akaambiwa mama hataki kuongea na weweCCM haiwezi kumtupa Ole Sabaya, alipelekwa Hai kuhakikisha Mbowe harudi bungeni. Amelitekeleza vyema jukumu lake.
Usishangae kuwa sasa hivi Ole Sabaya ana cell yake na chakula anakula cha nyumbani. Wewe ulisikia wapi mahabusu anamvimbia mkuu wa gereza.
Jiandaeni kumlipa Sabaya gharama za usumbufu kupitia kodi yenu.
Biblia inasema utavuna ulichopanda.Kweli..ndo alikuwa anateka matajiri kina Mo anawadhulumu pesa. Walimsomea dua mbaya wale..imemuondoa. ilibidi afe tu, watu wengi sana walimsomea dua mbaya, kuanzia ndugu ya waliouawa,waliofukuzwa kazi eti vyeti feki, waliotekwa, waliodhulumiwa uchaguzi.. ilibidi afe. Na amekufa!
Ana kwa hakika Mungu anawapenda Watanzania wenye mioyo misafiMungu siyo fala akaona amuondoe mapema sn