Tulifika Pabaya: Mwenyekiti Ulinzi na Usalama Wilaya eti ni Jambazi?

CCM haiwezi kumtupa Ole Sabaya, alipelekwa Hai kuhakikisha Mbowe harudi bungeni. Amelitekeleza vyema jukumu lake.

Usishangae kuwa sasa hivi Ole Sabaya ana cell yake na chakula anakula cha nyumbani. Wewe ulisikia wapi mahabusu anamvimbia mkuu wa gereza.

Jiandaeni kumlipa Sabaya gharama za usumbufu kupitia kodi yenu.

Mpendwa Sky, sio CCM hii ya sasa. Unajua kuwa Sabaya alikuwa mmoja wa wateule wa jiwe ambaye alikuwa anamdharau mama kama VP kwa kiburi cha ukaribu na mwendazake?
Na hiyo habari ya kumvimbia mkuu wa gereza umeipata ndivyo sivyo, habari za ndani ni kuwa siku yake ya kwanza jela hataisahau maishani mwake.
 
Sabaya alikuwa na kesi ya kujifanya ofisa usalama wa taifa....baadae tunaona anakuwa mkuu wa Wilaya, nini kilitokea, alisingiziwa ile kesi? Kama alisingiziwa, nani alichukuliwa hatua? Kama hakusingiziwa na alishinda kesi, kwanini serikali hiyo hiyo iliyomtuhumu leo inamteua.

Tuna tatizo kubwa kuliko Sabaya. Hamad Masauni alijiuzulu uenyekiti UVCCM kosa la kughushi umri, inakuwaje bado yupo serikalini? Hakuna integrity test huko, hivi Nyerere angekubali viongozi wa aina hii kwenye serikali yake?

1622870484351.png
 
Mpendwa Sky, sio CCM hii ya sasa. Unajua kuwa Sabaya alikuwa mmoja wa wateule wa jiwe ambaye alikuwa anamdharau mama kama VP kwa kiburi cha ukaribu na mwendazake?
Na hiyo habari ya kumvimbia mkuu wa gereza umeipata ndivyo sivyo, habari za ndani ni kuwa siku yake ya kwanza jela hataisahau maishani mwake.
Asante sana mkuu, nitaanza kurudisha uzalendo kwa nchi yangu kama haya usemayo ni ya kweli.
 
Kuna uongo mwingi hapa kwa sababu sasa liko kundi lenye uoga kwa matajiri wakwepa kodi na wazungu washenzi wezi wa Mali za umma.

Sabaya katolewa Kafara tu kwa kumtungia kesi za uongo kwa sababu ya wenye pesa kuweka nguvu ktk kila sehemu panapo mshutumu Sabaya ili aangamizwe,kwa ninavyo wajua waTanzania matajiri ni kweli wakati Sabaya akiwawajibisha kulipa kodi siamini kama aliwaonea,hao hua ni wakwepa kodi wakubwa kwa nguvu za pesa wanahonga kuvusha mizigo yao ya kibiashara

Swala la Hayati JPM linaendelea kushutumiwa kwa uongo na nina hakika 90% ya wanaozusha haya ni watu wa Kaskazini wabinafsi na wapigaji...ni ngumu sana kuondoa upendo wa JPM kwa watu zaidi ya 85% hapa nchini isipokua ni watu wasio sema sema wala hawaingii mitandaoni.

Nchi hii mtu ukiwa mkali na kutetea wengi wasinyonywe na wachache unaitwa dikteta,ukiwa mpole na watu wanaiba wanafurahi na wale wasio na mianya ya kuiba wanakuita dhaifu

Tanzania ni nchi yenye watu wasiojua wanatakaga nini.
Sabaya alikuwa ni TRA hivi?
 
Naomba tukubaliane wote, kwamba nchi hii katika awamu ya tano tulifika pabaya sana chini ya Amirijeshi mkuu Magufuli.

Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa au wilaya (RC or DC) ni mtu muhimu sana katika eneo husika kwa ajili ya usalama na ulinzi.

Sasa tulifikaje hapa ambapo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya anafikia hatua ya kushtakiwa kwa unyang'anyi wa kutumia silaha (ujambazi)?

Inamaana serikali ya awamu ya tano chini ya Magufuli ilikuwa haijajui haya aliyokuwa anatenda DC huyu? Au ilijuwa ikanyamaza kwa vile ni DC wa Hai? na ndio maana watetezi wa Sabaya makada wa CCM, walimtetea sana?

Mnaona uchama CCM ulivyokuwa umeifikisha mahali pabaya nchi?

Hii maana yake ni kuwa, kama ya sirini ya Sabaya yanajulikana basi walio mpiga risasi Lissu na kumuua Akwilina mchana wanajulikana, walioteka watu mchana wanajulikana nk.

Sasa ili nchi isafishike walio tenda maovu wote kwa kutumia kivuli cha serikali ya Jamhuri ya Tanzania washughulikiwe bila aibu ili kuliondolea balaa taifa (hii Mshana Jr ) anaweza kuielezea vizuri zaidi maana pengine inahitaji maombi au kafara ya kitaifa.

TULIFIKA PABAYA KAMA TAIFA
Mataga hutawaona hapa.
 
Yule ni zaidi ya Sabaya, ametesa watu sana , Ameua watu ukigombana nae kidogo unajikuta kwenye kiloba coco beach ,amebambikia sana watu case za drugs wanakuja kwako wanafanya search wanakuwekewa ili ufungwe

GSM na the late dr Mengi ndio walikamuliwa hela zao Mpaka Basi
yaani hawata baki salama kwenye maisha yao yote hapa Dunia kuna siku watu watajtolea kupambana nao!
Me binafsi kwa matendo ya ole sabaya ata nyama yake ninaweza kula bila kupikwa maana yule kafanya mambo ambayo hata shetani pengine hafanyi!
 
Then anapewa na askari kabisa wakafanye nae uhalifu.Kamati za ulinzi na usalama za wilaya na mkoa zipo tu kimya,kwann wasiwajibishwe nao?
 
Asante sana mkuu, nitaanza kurudisha uzalendo kwa nchi yangu kama haya usemayo ni ya kweli.
Mm mm! Don't quote me wrong, CCM ninayosema utofauti wa ile na hii ni katika kumshughulikia Sabaya kwani ziko sababu ambazo pengine Sabaya mwenyewe kawatibua.
Kwangu mengine bado ccm ni ile ile labda ijirekebishe na mwenendo unaonekana maana tabia za kishenzi zinaachwa zife na kuondoka na aliyrondoka
 
Kuna uongo mwingi hapa kwa sababu sasa liko kundi lenye uoga kwa matajiri wakwepa kodi na wazungu washenzi wezi wa Mali za umma.

Sabaya katolewa Kafara tu kwa kumtungia kesi za uongo kwa sababu ya wenye pesa kuweka nguvu ktk kila sehemu panapo mshutumu Sabaya ili aangamizwe,kwa ninavyo wajua waTanzania matajiri ni kweli wakati Sabaya akiwawajibisha kulipa kodi siamini kama aliwaonea,hao hua ni wakwepa kodi wakubwa kwa nguvu za pesa wanahonga kuvusha mizigo yao ya kibiashara

Swala la Hayati JPM linaendelea kushutumiwa kwa uongo na nina hakika 90% ya wanaozusha haya ni watu wa Kaskazini wabinafsi na wapigaji...ni ngumu sana kuondoa upendo wa JPM kwa watu zaidi ya 85% hapa nchini isipokua ni watu wasio sema sema wala hawaingii mitandaoni.

Nchi hii mtu ukiwa mkali na kutetea wengi wasinyonywe na wachache unaitwa dikteta,ukiwa mpole na watu wanaiba wanafurahi na wale wasio na mianya ya kuiba wanakuita dhaifu

Tanzania ni nchi yenye watu wasiojua wanatakaga nini.

You are a fool! Eti watu wa kaskazini? Ukimaanisha kabila au eneo?? Hivi ni kweli hujui kuwa matendo yote aliyafanyia ndani au karibu na eneo lake la kazi kaskazini??

Wewe ulikuwa-brainwashed na “upendo” na “uzalendo” wa mwendazake! Katika mengi aliyofanya mazuri, kulikuwa na mabaya pia!! Uonevu. Dhulma. Kuonesha hayo ndio maana mnasema tena “msiwabambikie watu makosa”, “wafungulieni watu akaunti zako” na “wafungulie watu viwanda na mashamba yao”. Hata hao nao wamehongwa na matajiri ili waende kombo na mwendazake??

Unaweza kuwa hukuguswa na mambo ya Sabaya. Ni kwa kuwa labda hauko kaskazini au hata kama ungekuwa - asingekuwa na ishu na wewe. Tuache wahanga wathibitishe madhila yao mahakamani. Kama hakutenda mabaya, atakuwa mtaani na wewe.
 
Kuna uongo mwingi hapa kwa sababu sasa liko kundi lenye uoga kwa matajiri wakwepa kodi na wazungu washenzi wezi wa Mali za umma.

Sabaya katolewa Kafara tu kwa kumtungia kesi za uongo kwa sababu ya wenye pesa kuweka nguvu ktk kila sehemu panapo mshutumu Sabaya ili aangamizwe,kwa ninavyo wajua waTanzania matajiri ni kweli wakati Sabaya akiwawajibisha kulipa kodi siamini kama aliwaonea,hao hua ni wakwepa kodi wakubwa kwa nguvu za pesa wanahonga kuvusha mizigo yao ya kibiashara

Swala la Hayati JPM linaendelea kushutumiwa kwa uongo na nina hakika 90% ya wanaozusha haya ni watu wa Kaskazini wabinafsi na wapigaji...ni ngumu sana kuondoa upendo wa JPM kwa watu zaidi ya 85% hapa nchini isipokua ni watu wasio sema sema wala hawaingii mitandaoni.

Nchi hii mtu ukiwa mkali na kutetea wengi wasinyonywe na wachache unaitwa dikteta,ukiwa mpole na watu wanaiba wanafurahi na wale wasio na mianya ya kuiba wanakuita dhaifu

Tanzania ni nchi yenye watu wasiojua wanatakaga nini.
Hiyo kusema marehemu alipendwa na 85%, labda hapo kijijini penu.

Nenda mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na mikoa ya Kusini, tena nenda vijijini, kawaulize wanavijiji wakulima wa mahindi, wakukima wa korosho, wakulima wa tumbaku, wakulima wa miti ya mbao, wafanyabiashara wa mbao, wakulima wa viazi, tena watafute wanaCCM, nina hakika utarudi na fikra tofauti.
 
Hivi kumbe Sabaya yeye katokea kanda ya magharibi. Hawa jamaa wa kaskazini wabaya sana. Hawataki kabisa mtu mwingine tokea kanda nyingine aongoze, huu ndio ugomvi wao kwa Sabaya
Kuna uongo mwingi hapa kwa sababu sasa liko kundi lenye uoga kwa matajiri wakwepa kodi na wazungu washenzi wezi wa Mali za umma.

Sabaya katolewa Kafara tu kwa kumtungia kesi za uongo kwa sababu ya wenye pesa kuweka nguvu ktk kila sehemu panapo mshutumu Sabaya ili aangamizwe,kwa ninavyo wajua waTanzania matajiri ni kweli wakati Sabaya akiwawajibisha kulipa kodi siamini kama aliwaonea,hao hua ni wakwepa kodi wakubwa kwa nguvu za pesa wanahonga kuvusha mizigo yao ya kibiashara

Swala la Hayati JPM linaendelea kushutumiwa kwa uongo na nina hakika 90% ya wanaozusha haya ni watu wa Kaskazini wabinafsi na wapigaji...ni ngumu sana kuondoa upendo wa JPM kwa watu zaidi ya 85% hapa nchini isipokua ni watu wasio sema sema wala hawaingii mitandaoni.

Nchi hii mtu ukiwa mkali na kutetea wengi wasinyonywe na wachache unaitwa dikteta,ukiwa mpole na watu wanaiba wanafurahi na wale wasio na mianya ya kuiba wanakuita dhaifu

Tanzania ni nchi yenye watu wasiojua wanatakaga nini.
 
Udikteta ulikuwa unapeleka mizizi yake chini ingelifikia hadi Balozi wa Nyumba kumi angeweza kupiga simu Ikulu usiku wa manane ili apongezwe kwa 'Kushughulikia' Wananchi kwa kuwakomesha Chadema.

Kwa hilo tunamshukuru mtoa Roho Mungu.
 
Naomba tukubaliane wote, kwamba nchi hii katika awamu ya tano tulifika pabaya sana chini ya Amirijeshi mkuu Magufuli.

Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa au wilaya (RC or DC) ni mtu muhimu sana katika eneo husika kwa ajili ya usalama na ulinzi.

Sasa tulifikaje hapa ambapo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya anafikia hatua ya kushtakiwa kwa unyang'anyi wa kutumia silaha (ujambazi)?

Inamaana serikali ya awamu ya tano chini ya Magufuli ilikuwa haijajui haya aliyokuwa anatenda DC huyu? Au ilijuwa ikanyamaza kwa vile ni DC wa Hai? na ndio maana watetezi wa Sabaya makada wa CCM, walimtetea sana?

Mnaona uchama CCM ulivyokuwa umeifikisha mahali pabaya nchi?

Hii maana yake ni kuwa, kama ya sirini ya Sabaya yanajulikana basi walio mpiga risasi Lissu na kumuua Akwilina mchana wanajulikana, walioteka watu mchana wanajulikana nk.

Sasa ili nchi isafishike walio tenda maovu wote kwa kutumia kivuli cha serikali ya Jamhuri ya Tanzania washughulikiwe bila aibu ili kuliondolea balaa taifa (hii Mshana Jr ) anaweza kuielezea vizuri zaidi maana pengine inahitaji maombi au kafara ya kitaifa.

TULIFIKA PABAYA KAMA TAIFA
Usihofu sasa wanaondoka watumishi majambaazi wanarudi watumishi wazee wa vijicent

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba tukubaliane wote, kwamba nchi hii katika awamu ya tano tulifika pabaya sana chini ya Amirijeshi mkuu Magufuli.

Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa au wilaya (RC or DC) ni mtu muhimu sana katika eneo husika kwa ajili ya usalama na ulinzi.

Sasa tulifikaje hapa ambapo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya anafikia hatua ya kushtakiwa kwa unyang'anyi wa kutumia silaha (ujambazi)?

Inamaana serikali ya awamu ya tano chini ya Magufuli ilikuwa haijajui haya aliyokuwa anatenda DC huyu? Au ilijuwa ikanyamaza kwa vile ni DC wa Hai? na ndio maana watetezi wa Sabaya makada wa CCM, walimtetea sana?

Mnaona uchama CCM ulivyokuwa umeifikisha mahali pabaya nchi?

Hii maana yake ni kuwa, kama ya sirini ya Sabaya yanajulikana basi walio mpiga risasi Lissu na kumuua Akwilina mchana wanajulikana, walioteka watu mchana wanajulikana nk.

Sasa ili nchi isafishike walio tenda maovu wote kwa kutumia kivuli cha serikali ya Jamhuri ya Tanzania washughulikiwe bila aibu ili kuliondolea balaa taifa (hii Mshana Jr ) anaweza kuielezea vizuri zaidi maana pengine inahitaji maombi au kafara ya kitaifa.

TULIFIKA PABAYA KAMA TAIFA
Niliwahi kusema humu kwamba sio busara kwa RC na DC kuwa wenyeviti wa kamati za usalama mkoa na wilaya. Kwasababu hawa ni makada wa chama wanaoteuliwa kisiasa.

Tukiendelea na MFUMO huu vyombo vya usalama (polisi, takukuru na tiss havitafanya kazi zao kitaalamu na kwa ufanisi.

Kumbuka kwamba hata Uhamiaji, NIDA, TCRA na Tume ya Uchaguzi ni vyombo vya usalama pia. Kufanya chama cha siasa kiwe na ukiritimba kwenye vyombo au taasisi hizi ni hatari kwa maslahi ya nchi.

Ingeleta maana kama RAS na DAS ndiyo washiriki ktk kamati hizi kama makatibu/waratibu (coordinating secretaries) na kuripoti kwa Katibu Mkuu Kiongozi.

Awali baada ya UHURU Mwalimu J. K. Nyerere aliwaita RC na DC Makatibu wa TANU/CCM Mkoa na Wilaya. Lakini baadae ghafla wakapewa ugavana!

Sasa fikiria kama chama kingine cha siasa kikishika dola, halafu makada wake wawe wenyeviti wa kamati za usalama, CCM itakuwa salama?

Kwa MFUMO huu ni dhahiri hatuwezi kuwa na utawala wa demokrasia na haki. Kwasababu CCM itaendelea kutumia taasisi hizi kama vyombo vyake vya kujilinda dhidi ya upinzani.

Sent from my G80 using JamiiForums mobile app
 
Naomba tukubaliane wote, kwamba nchi hii katika awamu ya tano tulifika pabaya sana chini ya Amirijeshi mkuu Magufuli.

Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama Mkoa au wilaya (RC or DC) ni mtu muhimu sana katika eneo husika kwa ajili ya usalama na ulinzi.

Sasa tulifikaje hapa ambapo mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya anafikia hatua ya kushtakiwa kwa unyang'anyi wa kutumia silaha (ujambazi)?

Inamaana serikali ya awamu ya tano chini ya Magufuli ilikuwa haijajui haya aliyokuwa anatenda DC huyu? Au ilijuwa ikanyamaza kwa vile ni DC wa Hai? na ndio maana watetezi wa Sabaya makada wa CCM, walimtetea sana?

Mnaona uchama CCM ulivyokuwa umeifikisha mahali pabaya nchi?

Hii maana yake ni kuwa, kama ya sirini ya Sabaya yanajulikana basi walio mpiga risasi Lissu na kumuua Akwilina mchana wanajulikana, walioteka watu mchana wanajulikana nk.

Sasa ili nchi isafishike walio tenda maovu wote kwa kutumia kivuli cha serikali ya Jamhuri ya Tanzania washughulikiwe bila aibu ili kuliondolea balaa taifa (hii Mshana Jr ) anaweza kuielezea vizuri zaidi maana pengine inahitaji maombi au kafara ya kitaifa.

TULIFIKA PABAYA KAMA TAIFA
Hata kabla hajateuliwa Sabaya alikuwa jambazi
 
Back
Top Bottom