Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
- Thread starter
- #41
CCM haiwezi kumtupa Ole Sabaya, alipelekwa Hai kuhakikisha Mbowe harudi bungeni. Amelitekeleza vyema jukumu lake.
Usishangae kuwa sasa hivi Ole Sabaya ana cell yake na chakula anakula cha nyumbani. Wewe ulisikia wapi mahabusu anamvimbia mkuu wa gereza.
Jiandaeni kumlipa Sabaya gharama za usumbufu kupitia kodi yenu.
Mpendwa Sky, sio CCM hii ya sasa. Unajua kuwa Sabaya alikuwa mmoja wa wateule wa jiwe ambaye alikuwa anamdharau mama kama VP kwa kiburi cha ukaribu na mwendazake?
Na hiyo habari ya kumvimbia mkuu wa gereza umeipata ndivyo sivyo, habari za ndani ni kuwa siku yake ya kwanza jela hataisahau maishani mwake.