Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tujifunze kwa wenzetu waliwezaje??Sio rahisi hivyo. Kwanza lazime kuwe na makubaliona ya economic policy "Fiscal & Monetary" pia lzn kuwe na EA-Central Bank ya ku monitor hizo policy.
Mfano. Tusema currency mpya inaitwa EA-Shilling (EAS). hii currency tunipa value labda EAS 1 = USD 1. tunachofanya ni ku convert madeni yote kwenda kwenye hii USD na kenda kwenye EAS lbda TZ tuna daiwa 37B USD, Kenya labda 16B USD na uganda 12B USD haya madeni yote tunatapeleka kwenye EAS kama shilling yetu mpya sasa TZ inakua inadaiwa 37B EAS hivyo hivyo kwa madeni ya nchi nyingine. Baada yapo ndo ela inaingia kwenye circulation
Changamoto ni kwamba sera ya fedha kwenye nchi moja ikibadilika ina affected dhani ya fedha kwenye jumiiya nzima. Alfu pia tutashea inflation ikitokea bei zimepanda Sudani hivyo hiyo bei itakuja kupanda tanzania. Haita weze kama bei ya bidhaa au mafuta ipande sudani halafu bei za hizo bidhaa sizipande sehemu nyingine, hii itasababisha speculation kwenye uchumi.
Kwa sasa common currency haiwezekani
Mkuu umenielewa sana..! ShukraniSio kwamba tunabaki na sarafu zetu...lakin inatengenezwa mpya itakayotumika na nchi zote za East Africa kwenye trade nk...kama ilivyo East Africa passport....
Yaan kunakuwa hakuna haja ya kuexhange kutoka ksh to Tsh nk...lakin unachange from Tsh to EASH...
Baadae baadae sana ndo mnaweza kuta mnaachana na hizo ush, ksh nk...
I think ulaya wanatumia hii kitu
Namaanisha usitumie kichwa kama mfuko wa kuhifadhia meno pekeeSasa kutaja sehemu za watu za kutolea hewa chafu una maana gani? Mbona sisi tunakuheshimu..
Hata mimi nimeelewa hivoSio kwamba tunabaki na sarafu zetu...lakin inatengenezwa mpya itakayotumika na nchi zote za East Africa kwenye trade nk...kama ilivyo East Africa passport....
Yaan kunakuwa hakuna haja ya kuexhange kutoka ksh to Tsh nk...lakin unachange from Tsh to EASH...