Tulifikirie suala la Sarafu moja kati ya Tanzania na Kenya

Tulipoanza mwendo baada ya kuacha kutumia sarafu ya Afrika Mashariki(EAShs) hali ilikuwa hivi; 1 KES= 1 Tzsh= 1 Ugsh. Leo hii 1,000 ya Tz ni sawa na shilingi 50 za Kenya na 1,000 ya Uganda ni sawa na shilingi 33 za Kenya. Tafakari hayo.
Mkuu kwani hujui mwinyi akisaini anguko la shilingi ili kujiunga nanWB na IFM kuna kipind 5sh ilikuwa sawa na dola 1 kabla ya kusain
 
Hizo 9% ni nini!?..na kwa nini iliitwa EAA!?
Hiyo 9% ilikua ya nini!?
 
Hizo 9% ni nini!?..na kwa nini iliitwa EAA!?

Hiyo 9% ilikua ya nini!?
Ndege zote za E.A.Airways zilikuwa kumi. Sasa wewe fanya mahesabu, 9%(Tanganyika) na 0.7%(Znz). 9.7% ya ndege kumi ni ndege ngapi hizo kwa ujumla ambazo mnasema mliibiwa? Ongeza juu yake madeni ya shirika, ambayo yalikuwa yanalipwa na Kenya kwa niaba yenu Tz mkiwa na Ug.

Kuhusu jina ni sawa na kusema kwamba Kenya ina haki ya kumiliki asilimia fulani ya EATV.
 
Kimantiki unajichanganya,unamaanisha shirika lilikua la Kenya lakini unashutumu hatukulipa madeni tulimwachia Kenya...ile ndege tuliyokwapua unamaanisha tuliiba haikua yetu!?..
 
Kuwa na strong shillings haina maana uchumi wako ni mzuri au utakuwa mzuri, na kwa nchi maskini ni hasara tupu kuwa na strong currency maana inaua exports, acha wakenya wawe na strong currency hiyo ni opportunity kwa Tanzania kuifanya Kenya kuwa market yake, ni kama China kwa US na ndio maana kuna currency war kati yao, China anataka pesa yake iwe weak ili aendelee kuigeuza US soko lake, siku China akiwa na strong currency atapoteza sehemu kubwa ya soko lake ndio maana pesa yake ni artificially weak, ila uchumi wetu ungekuwa unategemea imports kuwa na strong currency ni jambo zuri, lakini kuna factor nyingi sana kwenye mambo ya uchumi kwa hiyo balance lazima iwepo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…