Tuliingia kwa urahisi, wasema wanajeshi wa Ukraine waliohusika katika uvamizi dhidi ya Urusi

Nilijua tu kama biibiisiii
Wameingia kirahisi kweli kama wanavyokufa kirahisi
Unaumia sana... [emoji1787][emoji1787]Russia wenyewe wanakili kuwa Ukraine ameteka eneo na mpaka sasa wanashikilia hilo eneo... Wewe wa mbagala kipatu unaongopa ongopa sijui wanakufa sijui nini unahisi wanajeshi wa russia hawafi? [emoji1787][emoji1787]
 
Putin amshukuru lukashenko wa berarus ndo alimzuia yule bwana asiendelee na safar... Vinginevyo leo tulikuwa tunaongea kitu kingine
 
Unajipa iman
 
Kursk ina ukubwa wa 29800²km na Ukraine inasemwa imelifikia eneo lenye 1000²km ni eneo dogo sana na wanajeshi wa Ukraine waliotangulia mbele hawajulikani walipo.
Kitu nilichojifunza kuhusu Ukraine ina Wanajeshi wazalendo sana na Nchi yao na pia Technology wanayo sio swala dogo kusumbuana na Russia miaka yote hii kwa kitu tulicjotegemea Putin anaenda kumega kama 2014 .
 
Mshamegwa hamna maajabu
Wewe ndo unamegwa unatembea huku unaota.... Ukraine wako Russia na Russia wanalijua jiulize leo siku ya ngapi?.... Unaleta propaganda sijui wanajeshi wa russia wanawauwa wanajeshi wa Ukraine lakini jiulize hao wanaouliwa mpaka sasa wanakalia maeneo ya Russia.... We huogopi?... Vitu vya kuambiwa changanya na akili yako acha kuwaza na makalio....tuliwaambia humu warusi wa mbande russia ukitoa NUKE mweupe Bora hata rwanda italeta shida SLAVA UKRAINE 💪
 
Marekani hii hii ambayo China iliendesha kituo chake cha polisi ndani ya ardhi ya Marekani kwa miaka mitatu bila Marekani kujua??
 
Huu siyo mtego kweli? Isije ikatokea umezungukwa pande zote na Putin,refer Wagner kipindi kile wanalalamika hawana silaha wanatumia kolea, lakini walikuwa wanabonda watu, ngoja tuone
Tumezimis sana amsha amsha za Wagner baada ya kuuliwa kwa boss wao Prigozni.
 
Marekani hii hii ambayo China iliendesha kituo chake cha polisi ndani ya ardhi ya Marekani kwa miaka mitatu bila Marekani kujua??
Ndio. Marekani hii hii ambayo inaendesha uchumi wa China kwa zaidi asilimia ya 76%!
 
Mshamegwa pakubwa tu,,,ukraine kachukua upande upi wa urusi??? Na mkimbizane na muda fasta akiingia Trump kazi kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…