Tuliingia kwa urahisi, wasema wanajeshi wa Ukraine waliohusika katika uvamizi dhidi ya Urusi

Tuliingia kwa urahisi, wasema wanajeshi wa Ukraine waliohusika katika uvamizi dhidi ya Urusi

Nilijua tu kama biibiisiii
Wameingia kirahisi kweli kama wanavyokufa kirahisi
Unaumia sana... [emoji1787][emoji1787]Russia wenyewe wanakili kuwa Ukraine ameteka eneo na mpaka sasa wanashikilia hilo eneo... Wewe wa mbagala kipatu unaongopa ongopa sijui wanakufa sijui nini unahisi wanajeshi wa russia hawafi? [emoji1787][emoji1787]
 
Putin hana zile nguvu za JF nilipoona wahuni walitaka kwenda Ikulu akakimbilia kujificha mpaka akamua amtengenezee kifo yule mpishi wake hata Malawi huwezi kufanya hivyo...JF bhana wapo Warusi wa Tunduma ukisoma wanavyomsimulia Putin utajua vita kesho wamemaliza..
Putin amshukuru lukashenko wa berarus ndo alimzuia yule bwana asiendelee na safar... Vinginevyo leo tulikuwa tunaongea kitu kingine
 
Marekani yenyewe vita kuu ya 2 ilipigwa na Japan na ni sehemu ndogo mtu akapanic hadi akaamua kutumia bomu la nuclear,,,mrusi kakomaa sana kuliko hao maboya wa western,,,,angefanyiwa hivo marekani angetandika hio nchi hata mabomu ma 5 ya nuclear,,,,,ila mrusi anajua kuwanyoosha taratibu hana papara
Unajipa iman
 
Kursk ina ukubwa wa 29800²km na Ukraine inasemwa imelifikia eneo lenye 1000²km ni eneo dogo sana na wanajeshi wa Ukraine waliotangulia mbele hawajulikani walipo.
Kitu nilichojifunza kuhusu Ukraine ina Wanajeshi wazalendo sana na Nchi yao na pia Technology wanayo sio swala dogo kusumbuana na Russia miaka yote hii kwa kitu tulicjotegemea Putin anaenda kumega kama 2014 .
 
Mshamegwa hamna maajabu
Wewe ndo unamegwa unatembea huku unaota.... Ukraine wako Russia na Russia wanalijua jiulize leo siku ya ngapi?.... Unaleta propaganda sijui wanajeshi wa russia wanawauwa wanajeshi wa Ukraine lakini jiulize hao wanaouliwa mpaka sasa wanakalia maeneo ya Russia.... We huogopi?... Vitu vya kuambiwa changanya na akili yako acha kuwaza na makalio....tuliwaambia humu warusi wa mbande russia ukitoa NUKE mweupe Bora hata rwanda italeta shida SLAVA UKRAINE 💪
 
Hata kama askari wa Ukraine waliokaa masaa mawili ndani ya Urusi, hii imeonesha udhaifu mkubwa sana upande wa Urusi. Unajiitaje Taifa Kubwa halafu intelijensia yako inashindwa kutambua vitu vidogo kama hivi! Ingelikuwa Marekani, wangetambua tangu siku ya kwanza ya kusuka mipango. Mfano, unaambjwa Marekani ilijua mapema kuwa Rais wa Iran anaenda kudedi! Hapo ndio Kuna utofauti wa Taifa Kubwa na Urusi inayojiita Taifa Kubwa!
Marekani hii hii ambayo China iliendesha kituo chake cha polisi ndani ya ardhi ya Marekani kwa miaka mitatu bila Marekani kujua??
 
Huu siyo mtego kweli? Isije ikatokea umezungukwa pande zote na Putin,refer Wagner kipindi kile wanalalamika hawana silaha wanatumia kolea, lakini walikuwa wanabonda watu, ngoja tuone
Tumezimis sana amsha amsha za Wagner baada ya kuuliwa kwa boss wao Prigozni.
 
Marekani hii hii ambayo China iliendesha kituo chake cha polisi ndani ya ardhi ya Marekani kwa miaka mitatu bila Marekani kujua??
Ndio. Marekani hii hii ambayo inaendesha uchumi wa China kwa zaidi asilimia ya 76%!
 
Wewe ndo unamegwa unatembea huku unaota.... Ukraine wako Russia na Russia wanalijua jiulize leo siku ya ngapi?.... Unaleta propaganda sijui wanajeshi wa russia wanawauwa wanajeshi wa Ukraine lakini jiulize hao wanaouliwa mpaka sasa wanakalia maeneo ya Russia.... We huogopi?... Vitu vya kuambiwa changanya na akili yako acha kuwaza na makalio....tuliwaambia humu warusi wa mbande russia ukitoa NUKE mweupe Bora hata rwanda italeta shida SLAVA UKRAINE 💪
Mshamegwa pakubwa tu,,,ukraine kachukua upande upi wa urusi??? Na mkimbizane na muda fasta akiingia Trump kazi kwisha
 
Back
Top Bottom