Tuliingia kwa urahisi, wasema wanajeshi wa Ukraine waliohusika katika uvamizi dhidi ya Urusi

Ukraine apeleke HIMARS huko Kursk, zile HIMARS ni moto mwingine ule.
Nyie watoto muwe mnatafuta kwanza taarifa kabla ya kuja humu,haya soma hizo himers
zako zimefanywaje huko Kursk

Ukraine suffered heavy losses in attack on another Russian region – WaPo

The Defense Ministry in Moscow said on Friday that since the start of the incursion, Ukraine has lost up to 2,860 servicemen and several hundred units of military hardware, including 41 tanks, 40 APCs, and three US-supplied HIMARS multiple rocket launchers.

WaPo maana yake Washington Post.
 
Hawakujua. Amini hivyo tu.
 
Ukisikia stori ya sisimizi kamuua tembo ndio hii sasa.
 
Mimi ninasema VIPORO vinadumaza ubongo ndio maana wengi hamna uwezo wa kufikiri nje ya box. Eti official document!!! Taifa la Marekani lina maadui wengi sana kuliko Taifa lolote lile hapa Duniani. Kwa hiyo wanajua wapo kwenye tishio kubwa ndani na nje hasa kushambuliwa na makundi ya kigaidi. Kwa hiyo tahadhari za kiusalama ni lazima. Hivyo kujinasibu kuwa Intel yake ilijua kabla tukio la September 11 ni janjajanja ya kujimwambafai. NI KWANINI BASI BAADA YA TUKIO LILE WALIUNDA TUME YA TAIFA KUWAHOJI WADAU WA USALAMA NA KUHITIMISHA KUWA KUFELI KWA CIA NA FBI NDIKO KULIKOPELEKEA TUKIO LILE KUFANYIKA.

Na ni kwanini juzi hawakubaini kabla tishio la kupigwa risasi Trump.

Binafsi sikatai ukubwa na uwezo wa Marekani lakini kuna mengine mengi tu NI YA UWONGO SANA
 
Putin ameanzisha vita ya kipumbavu.

Hata wagner waliingia kirahisi pia
Hamuachi tu propaganda za kipumbavu.. Hata state media za Urusi siku Ukraine wamevamia, siku yapili zikaanza kutangaza kuwa wamuawa wote, cha ajabu kila wakipeleka vifaa vinachomwa vyote na vingine kutekwa na Ukraine wanaongeza eneo huku raia wakizidi kukimbia. Ni wiki sasa imetimia tangu muanze kusema wanakufa kirahisi na zaidi wameshafungua command centre yao pale na hata washirika wake wamemwambia vita inaenda pabaya na wamemsihi kutafuta namna ya kuimaliza kwa amani.
Sasa hivi Putin ni mateka wa uongo wake wenyewe…vita sasa hivi inapiganwa ndani ya Russia, ninyi mnaendelea kuuishi uongo anbao na wenyewe umeamua kumkamata mateka aliyeuanzisha
 
Hamas walivyoingia Israel na kusababisha vifo vya more than 1000 Mossad ilikuwa wapi?? Osama alipotandika twin towers na wamarekani zaidi ya 3000 kupoteza maisha CIA walikuwa wapi,
Kuna vitu vingi vinaendelea duniani ambavyo vinahitaji akili na utulivu..ndo maana hayo mashirika ya Ujasusi yanaitwa Intelligence agencies - sio chain reaction agencies....watu wanafanya the impossible kuwa possible,
 
Kuongea ni kwepesi sana dogo. Wanafalsafa wanaiita "Armchair thinking"! Ahahahahaha!!!
 
Jana kuna daraja la muhimu ambalo Russia alikuwa akilitumia kusafirishia zana zake limevunjwa, Kursk imeenda kuwa Jehanum ndogo kama ilivyokuwaga Kharkiv na Kherson.
 
Jana kuna daraja la muhimu ambalo Russia alikuwa akilitumia kusafirishia zana zake limevunjwa, Kursk imeenda kuwa Jehanum ndogo kama ilivyokuwaga Kharkiv na Kherson.
Watu wanamezeshwa propaganda na wenyewe wanazimeza nzima nzima kama zilivyo, wakati mtu mzima anadharirika huko.
 
Shida hapo ni urusi kuonyesha nia ya kusupport iran.
Israel alikuwa amekaa kimya kuhusu Ukraine na Russia sasa hapo Russian amemshika Israel kalio kwa kuonyesha yupo na Iran..
Ukraine anaenda kuishinda hii vita
 
Walijua kupitia ile hali ya hewa kuchafuka au kuna "mipango" ilifanyika?
 
Nakusikitia kwakuwa bado hujajua tu sababu inayopelekea wataalamu wa sheria hapa Tanganyika kusaini mikataba mibovu kuwa ni KUTOKUSOMA KILA MSTARI.

Huyo kasoma mistari 15 tu na kahitimisha hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…