green rajab
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 12,387
- 39,119
Ukro naziUkraine shikilia hapo hapo, pambana hapo hapo hakuna kutoka ili na yeye aone joto la jiwe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukro naziUkraine shikilia hapo hapo, pambana hapo hapo hakuna kutoka ili na yeye aone joto la jiwe.
Nyie watoto muwe mnatafuta kwanza taarifa kabla ya kuja humu,haya soma hizo himersUkraine apeleke HIMARS huko Kursk, zile HIMARS ni moto mwingine ule.
Hawakujua. Amini hivyo tu.Uliishawahi kuisoma "official document" ya Serikali ya Marekani kuhusu September 11? Kama bado , basi nikudokezee tu kwamba Serikali ya Marekani iliujua huo mpango ila "ikadharau" kwakuwa taarifa inazokusanya za kuishambulia Marekani ni zaidi ya elfu moja kwa siku. Sasa kujua ipi ni kweli na ipi si kweli ndio ikawa changamoto. Lakini document kwamba watashambuliwa ilikuwa mezani zaidi ya miaka miwili tangu Mohamed Atta Kiongozi wa Washambulizi anaingia Marekani kupitia Canada.
Mimi ninasema VIPORO vinadumaza ubongo ndio maana wengi hamna uwezo wa kufikiri nje ya box. Eti official document!!! Taifa la Marekani lina maadui wengi sana kuliko Taifa lolote lile hapa Duniani. Kwa hiyo wanajua wapo kwenye tishio kubwa ndani na nje hasa kushambuliwa na makundi ya kigaidi. Kwa hiyo tahadhari za kiusalama ni lazima. Hivyo kujinasibu kuwa Intel yake ilijua kabla tukio la September 11 ni janjajanja ya kujimwambafai. NI KWANINI BASI BAADA YA TUKIO LILE WALIUNDA TUME YA TAIFA KUWAHOJI WADAU WA USALAMA NA KUHITIMISHA KUWA KUFELI KWA CIA NA FBI NDIKO KULIKOPELEKEA TUKIO LILE KUFANYIKA.Uliishawahi kuisoma "official document" ya Serikali ya Marekani kuhusu September 11? Kama bado , basi nikudokezee tu kwamba Serikali ya Marekani iliujua huo mpango ila "ikadharau" kwakuwa taarifa inazokusanya za kuishambulia Marekani ni zaidi ya elfu moja kwa siku. Sasa kujua ipi ni kweli na ipi si kweli ndio ikawa changamoto. Lakini document kwamba watashambuliwa ilikuwa mezani zaidi ya miaka miwili tangu Mohamed Atta Kiongozi wa Washambulizi anaingia Marekani kupitia Canada.
Hamuachi tu propaganda za kipumbavu.. Hata state media za Urusi siku Ukraine wamevamia, siku yapili zikaanza kutangaza kuwa wamuawa wote, cha ajabu kila wakipeleka vifaa vinachomwa vyote na vingine kutekwa na Ukraine wanaongeza eneo huku raia wakizidi kukimbia. Ni wiki sasa imetimia tangu muanze kusema wanakufa kirahisi na zaidi wameshafungua command centre yao pale na hata washirika wake wamemwambia vita inaenda pabaya na wamemsihi kutafuta namna ya kuimaliza kwa amani.Putin ameanzisha vita ya kipumbavu.
Hata wagner waliingia kirahisi pia
Hamas walivyoingia Israel na kusababisha vifo vya more than 1000 Mossad ilikuwa wapi?? Osama alipotandika twin towers na wamarekani zaidi ya 3000 kupoteza maisha CIA walikuwa wapi,Hata kama askari wa Ukraine waliokaa masaa mawili ndani ya Urusi, hii imeonesha udhaifu mkubwa sana upande wa Urusi. Unajiitaje Taifa Kubwa halafu intelijensia yako inashindwa kutambua vitu vidogo kama hivi! Ingelikuwa Marekani, wangetambua tangu siku ya kwanza ya kusuka mipango. Mfano, unaambjwa Marekani ilijua mapema kuwa Rais wa Iran anaenda kudedi! Hapo ndio Kuna utofauti wa Taifa Kubwa na Urusi inayojiita Taifa Kubwa!
Kuongea ni kwepesi sana dogo. Wanafalsafa wanaiita "Armchair thinking"! Ahahahahaha!!!Mimi ninasema VIPORO vinadumaza ubongo ndio maana wengi hamna uwezo wa kufikiri nje ya box. Eti official document!!! Taifa la Marekani lina maadui wengi sana kuliko Taifa lolote lile hapa Duniani. Kwa hiyo wanajua wapo kwenye tishio kubwa ndani na nje hasa kushambuliwa na makundi ya kigaidi. Kwa hiyo tahadhari za kiusalama ni lazima. Hivyo kujinasibu kuwa Intel yake ilijua kabla tukio la September 11 ni janjajanja ya kujimwambafai. NI KWANINI BASI BAADA YA TUKIO LILE WALIUNDA TUME YA TAIFA KUWAHOJI WADAU WA USALAMA NA KUHITIMISHA KUWA KUFELI KWA CIA NA FBI NDIKO KULIKOPELEKEA TUKIO LILE KUFANYIKA.
Na ni kwanini juzi hawakubaini kabla tishio la kupigwa risasi Trump.
Binafsi sikatai ukubwa na uwezo wa Marekani lakini kuna mengine mengi tu NI YA UWONGO SANA
Jana kuna daraja la muhimu ambalo Russia alikuwa akilitumia kusafirishia zana zake limevunjwa, Kursk imeenda kuwa Jehanum ndogo kama ilivyokuwaga Kharkiv na Kherson.Hamuachi tu propaganda za kipumbavu.. Hata state media za Urusi siku Ukraine wamevamia, siku yapili zikaanza kutangaza kuwa wamuawa wote, cha ajabu kila wakipeleka vifaa vinachomwa vyote na vingine kutekwa na Ukraine wanaongeza eneo huku raia wakizidi kukimbia. Ni wiki sasa imetimia tangu muanze kusema wanakufa kirahisi na zaidi wameshafungua command centre yao pale na hata washirika wake wamemwambia vita inaenda pabaya na wamemsihi kutafuta namna ya kuimaliza kwa amani.
Sasa hivi Putin ni mateka wa uongo wake wenyewe…vita sasa hivi inapiganwa ndani ya Russia, ninyi mnaendelea kuuishi uongo anbao na wenyewe umeamua kumkamata mateka aliyeuanzisha
Ki vipi ?Ndio. Marekani hii hii ambayo inaendesha uchumi wa China kwa zaidi asilimia ya 76%!
Watu wanamezeshwa propaganda na wenyewe wanazimeza nzima nzima kama zilivyo, wakati mtu mzima anadharirika huko.Jana kuna daraja la muhimu ambalo Russia alikuwa akilitumia kusafirishia zana zake limevunjwa, Kursk imeenda kuwa Jehanum ndogo kama ilivyokuwaga Kharkiv na Kherson.
Mwisho wao umefika,,,,acha aingie Trump goma linamalizika moja kwa moja,,,watu wanahamia sasa Israel futa mashoga wote na wasagaji
Hata kama askari wa Ukraine waliokaa masaa mawili ndani ya Urusi, hii imeonesha udhaifu mkubwa sana upande wa Urusi. Unajiitaje Taifa Kubwa halafu intelijensia yako inashindwa kutambua vitu vidogo kama hivi! Ingelikuwa Marekani, wangetambua tangu siku ya kwanza ya kusuka mipango. Mfano, unaambjwa Marekani ilijua mapema kuwa Rais wa Iran anaenda kudedi! Hapo ndio Kuna utofauti wa Taifa Kubwa na Urusi inayojiita Taifa Kubwa!
Walijua kupitia ile hali ya hewa kuchafuka au kuna "mipango" ilifanyika?Hata kama askari wa Ukraine waliokaa masaa mawili ndani ya Urusi, hii imeonesha udhaifu mkubwa sana upande wa Urusi. Unajiitaje Taifa Kubwa halafu intelijensia yako inashindwa kutambua vitu vidogo kama hivi! Ingelikuwa Marekani, wangetambua tangu siku ya kwanza ya kusuka mipango. Mfano, unaambjwa Marekani ilijua mapema kuwa Rais wa Iran anaenda kudedi! Hapo ndio Kuna utofauti wa Taifa Kubwa na Urusi inayojiita Taifa Kubwa!
Mkuu sijakulewaWalijua kupitia ile hali ya hewa kuchafuka au kuna "mipango" ilifanyika?
Namaanisha wao walijuaje, maana Mossad walikanusha kuhusika na assassination. Ikiwa walijua mapema basi kuna mkono wa Mossad kwenye ile ajali ya helikopta 🚁Mkuu sijakulewa