Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
yaani wewe na mzee wao ni wao ni mapicha msio fanana, acha tungi bro ita kuponza.Nashukuru sana ndugu ,nitabadirika ila nina mambo mengi kichwani .
Natoka sehemu ambayo ni almost safari ya masaa mawili kwa gari mpaka nafika hapa mbalizi
Jana nilimkumbuka sana wife ,nikawa natamani walau hata nipige simu apokee ila hakupokea nikiwaza kumfuata alikoolewa naogopa maana jamaa linaweza kuniua ,ikabidi nimfuate dada yake songwe ili ampigie walau nimsalimie na kumuuliza wanangu kama ni wazima .
Dada mtu naye kanitoa baru kwake ni hapo laki na nusu nikaona niende nikainywe ,sikubahatika kutembea na corolla yangu maana hali ya hewa huku ni mvua sana nilihofia kukwama .
Najieleza hivi ili nisinukuliwe vibaya sana kama napenda haya ,daktari nashukuru kwa maneno yako nitabadirika ndugu .
Mimi na ujanja wangu sija wahi vuta hata sigara, hata kutongoza ni kiuoga uoga tu.
Bro pombe iliyo zidi ni mbaya