Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
Hahahaha Leo joto hamna, Ila mvua dsm ni jau aseeh,Haaahaa 😊 😅 balaa at least Sasa mvua zumeanza kunyeshaa aiseee
Ndo hivyo hatuwezi shindana na Nature😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha Leo joto hamna, Ila mvua dsm ni jau aseeh,Haaahaa 😊 😅 balaa at least Sasa mvua zumeanza kunyeshaa aiseee
Mwakani wakati kampuni inahitaji ku file returns na audited financial statements 😂😂 njaa itatuuaSubirieni mwakani😂😁
Mkurugenzi licha ya kuwajali na kuwachomea nyama lakini mlikuwa bado mnampiga mafuta ndio maana akachanganyikiwaNaam madereva tuliishi kama ndugu, tulikuwa na umoja na Upendo wa kweli tuliishi kifamilia zaidi...Mkurugenzi/ mmiliki kila weekend kama tumerudi (Kwa sababu kampuni yetu tulikuwa tunapakia pamoja tunasafiri pamoja na kurudi pamoja), alikuwa na utaratibu wa nyama choma yard.
Nyama za kutosha na nyingine tunabeba nyumbani, siku za ijumaa baada ya swala ya mchana wote tunajumuika pamoja majris juu ghorofani tunakula mandi mbuzi au mandi kuku(ni chakula mfano wa pilau).
Ikawa usiku ikawa mchana, Mungu jaalia Kampuni ikakua ikaleta malori 80 kwa pamoja...duuh hapo ndio balaa na mitihani ikaanza kuongezeka kwenye kampuni, kila mtu akirudi safari anakuta kuna kesi ofisini mara hili mara lile.
Maneno yakaanza kuwa mengi kuliko kazi.... Mkurugenzi akawa kama kachanganyikiwa hata ofisini akawa hafiki madaraka akamkabidhi muhindi wa India ambaye umeneja ulimshinda kwenye moja ya Kampuni ya Mkurugenzi Malawi. Utaratibu wa nyama choma ukafa ......kula mandi ikawa historia chuki na magomvi baina ya madereva ikaanza hasa madereva wageni.
Majungu, husda, visa na fitina zikakomaa....ushirikina ukawa unafanyika waziwazi, baadhi ya kiongozi akategeshewa sumu kwenye chakula na kupoteza uhai ndani ya Yard,,,,balaa ikazidi kukomaa,,,,,,uzuri wa Kampuni ukafubaa......
Yoote yakawa Historia......Wenye kuona mbali tukaona ni wakati muafaka wa kuondoka kwa amani,,,,,baada ya kusoma na kuelewa ALAMA ZA NYAKATI........
Kampuni nyingi za Wabongo Esp Ngozi nyeusi ukiona Kampuni inakuwa kwa kasi na ndio kufa kwake.Naam madereva tuliishi kama ndugu, tulikuwa na umoja na Upendo wa kweli tuliishi kifamilia zaidi...Mkurugenzi/ mmiliki kila weekend kama tumerudi (Kwa sababu kampuni yetu tulikuwa tunapakia pamoja tunasafiri pamoja na kurudi pamoja), alikuwa na utaratibu wa nyama choma yard.
Nyama za kutosha na nyingine tunabeba nyumbani, siku za ijumaa baada ya swala ya mchana wote tunajumuika pamoja majris juu ghorofani tunakula mandi mbuzi au mandi kuku(ni chakula mfano wa pilau).
Ikawa usiku ikawa mchana, Mungu jaalia Kampuni ikakua ikaleta malori 80 kwa pamoja...duuh hapo ndio balaa na mitihani ikaanza kuongezeka kwenye kampuni, kila mtu akirudi safari anakuta kuna kesi ofisini mara hili mara lile.
Maneno yakaanza kuwa mengi kuliko kazi.... Mkurugenzi akawa kama kachanganyikiwa hata ofisini akawa hafiki madaraka akamkabidhi muhindi wa India ambaye umeneja ulimshinda kwenye moja ya Kampuni ya Mkurugenzi Malawi. Utaratibu wa nyama choma ukafa ......kula mandi ikawa historia chuki na magomvi baina ya madereva ikaanza hasa madereva wageni.
Majungu, husda, visa na fitina zikakomaa....ushirikina ukawa unafanyika waziwazi, baadhi ya kiongozi akategeshewa sumu kwenye chakula na kupoteza uhai ndani ya Yard,,,,balaa ikazidi kukomaa,,,,,,uzuri wa Kampuni ukafubaa......
Yoote yakawa Historia......Wenye kuona mbali tukaona ni wakati muafaka wa kuondoka kwa amani,,,,,baada ya kusoma na kuelewa ALAMA ZA NYAKATI........
Uzee unakusumbua mkuuDuh kaka nilijisahau nikaendelea na shughuli ,nimeona umenicheki ila sema nashindwa kusoma text nitumie kama kichwa cha habari kwa namba ya simu ili niione juu ndiyo niikopi kaka bila hivyo nashindwa kusoma chochote
Ndivyo ilivyo, kama ukifanikiwa kupata malisho mazuri zaidi tembea zako. Naifahamu sekta ya transport Kwa ukubwa sanaaa, asilimia kubwa ya madereva wa kampuni za malori maisha Yao ni ya hovyo sana kwasababu wengi hawana vipaumbele. Madereva wakiendelea kucheza watakufa hamna kitu.Pigeni kazi msiogope majungu hayo yapo kila taasisi. Acha kazi ukipata chimbo jipya. 2000 ni bora kuliko kuamka huna hata mia halafu una watu nyuma yako wanakutegemea.
Kwenye kampuni zinazoongozwa na wahindi majungu ni sehemu ya management controls. Pia unao uongozi mpya unapoingia mabadiriko mengi hutokea na hivyo mnaokuwepo mnapaswa kuisahau zamani na kuanza kuifanyia kazi sasa na ijayo.
Fanyeni kazi na msikate tamaa mtaa hauna huruma na mtu
Kwanini mkuu.Kampuni nyingi za Wabongo Esp Ngozi nyeusi ukiona Kampuni inakuwa kwa kasi na ndio kufa kwake.
Management inawashinda maana Kampuni inakuwa yeye anaendeleza mbinu zile zile...Na mara nyingi kuwadharau alioanza nao na kuleta Watumishi WapyaKwanini mkuu.