Tuliishi kwa raha sana....Kabla kampuni kupanuka

Muda huo niliamka mara ya pili baada ya ile ya kwanza kuamkia daku πŸ˜‚ Ila nikahisi kuchoka hata kushika simu siwezi

Sasa huyu I mean nobody to......... Intelligent businessman raisi wa jobless hajatoa advance ya kampuni mpk sasa!
Mimi nafunga bila daku yaani nakula saa 4 usiku Basi kesho natoboa vyema kabisaa

Raisi anatuzuga πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜…
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ nakuja kukubeba
 
Tegeta kufika makumbusho πŸ˜‚πŸ˜‚ au nifanye zoez la kaza mwili
Kama uko chakali kama nilivyokuwa mimi alfajiri zoezi la kaza mwili hutoliweza .
Niruhusu nimtume mwamba atoke hapo CCO makumbusho aje akuchukue na gari chap kaka ila nisaidie namba ya simu ili nimpe akupigie umpe location .

Huko ni nyumbani huwezi kufa nikiwepo ila huku kwenye mikoa ya watu ndiyo ninakotaabika haswa kaka
Tegeta kufika makumbusho πŸ˜‚πŸ˜‚ au nifanye zoez la kaza mwili
 
Kabisa utakuwa umefanya jamb ka msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…