Tuliishi kwa raha sana....Kabla kampuni kupanuka

Mkurugenzi licha ya kuwajali na kuwachomea nyama lakini mlikuwa bado mnampiga mafuta ndio maana akachanganyikiwa
 
Kampuni nyingi za Wabongo Esp Ngozi nyeusi ukiona Kampuni inakuwa kwa kasi na ndio kufa kwake.
 
Ndivyo ilivyo, kama ukifanikiwa kupata malisho mazuri zaidi tembea zako. Naifahamu sekta ya transport Kwa ukubwa sanaaa, asilimia kubwa ya madereva wa kampuni za malori maisha Yao ni ya hovyo sana kwasababu wengi hawana vipaumbele. Madereva wakiendelea kucheza watakufa hamna kitu.
 
Kuajiri waswahili wengi ni shida, wengi hawana uweledi katika utendaji wa kazi, zaidi ya kujipendekeza kwa mabosi, unafiki na ushirikina. Wanakuwa na maneno mengiii, utendaji kazi ni sifuri.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…