OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mbeba maono Tundu Lisu atarudisha FAO la kujitoa...watu wote walipwe jumla...akiba yao.
CCM tupa kule...wamepora Pesa za wafanyakazi na Kuondoa FAO la kujitoa.
Nssf lipeni watu wote fao la kujitoa
Sheria mpya ya mafao inapora haki za wanyonge.
CCM , Ndugai na Magufuli... rudisha Fao la kujitoa.
Mheshimiwa Tundu Lisu...ongelea Tena hili Baba mkombozi.. mtetezi wa Haki
Sky Eclat Molemo
Huyu bibi hana mvuto hata kidogoView attachment 1597425
Mdau najua wewe ni shahidi.Kila makao makuu ya mkoa anapopita Mgombea wa CCM na mgombea mwenza kumekuwa na tabia ya kuachisha masomo wanafunzi na kusombwa kuhudhulia mkutano.
Hii sio haki kwani hii ni mikutano ya kichama na inavuruga mwenendo wa masomo yao.
Mwalimu mmoja jana akanitaka kama nipo karibu na Tundu Lissu nimuombe akemee jambo hili ili lisiendelee . Nami nimemtaka mtumishi wetu Tundu Lissu akeeme jambo hili haraka,kama ulivyokemea udhalilishaji kwa kina mama nk.
bila shaka utakuwa hutoshi kwenye hii madaKama una pressure na kisukari na unataka uishi angalau maisha Marefu nakushauri usiwe mpambe wa CDM.
Maana kuanzia mgombea Urais mpaka wakereketwa wa huku chini kila siku nikutoa povu na kujadili watu ambao hawana hata muda nao.
Daah! Poleni Sana vijana wa ufipa Ila yote yatakwisha 29Oct2020. Then mbakize kulialia tu huku mitandaoni maana ndo kazi yenu pekee mliobakiza.
njoo unitawaze haa haaUnaandika kama upo msalani
Siku ratiba ikionyesha mgombea wa CCM yuko eneo lenu,mzazi usiluhusu mwanao aende shule,hiyo ndiyo dawa.Wanaenda kuongeza vichwa
Unaakili kweli?Kama una pressure na kisukari na unataka uishi angalau maisha Marefu nakushauri usiwe mpambe wa CDM.
Maana kuanzia mgombea Urais mpaka wakereketwa wa huku chini kila siku nikutoa povu na kujadili watu ambao hawana hata muda nao.
Daah! Poleni Sana vijana wa ufipa Ila yote yatakwisha 29Oct2020. Then mbakize kulialia tu huku mitandaoni maana ndo kazi yenu pekee mliobakiza.
KESHO UKIITWA UTHIBITISHE MATAMUSHI HAYAA. UNAANZA KWENDA KULILIA LILIA UBAROZI WA MABEBERU. UNAUSHAIDI NA UNACHOKISEMA??View attachment 1597425
Mdau najua wewe ni shahidi.Kila makao makuu ya mkoa anapopita Mgombea wa CCM na mgombea mwenza kumekuwa na tabia ya kuachisha masomo wanafunzi na kusombwa kuhudhulia mkutano.
Hii sio haki kwani hii ni mikutano ya kichama na inavuruga mwenendo wa masomo yao.
Mwalimu mmoja jana akanitaka kama nipo karibu na Tundu Lissu nimuombe akemee jambo hili ili lisiendelee. Nami nimemtaka mtumishi wetu Tundu Lissu akeeme jambo hili haraka,kama ulivyokemea udhalilishaji kwa kina mama nk.
Ukimzuia mwanao kwenda shule na akakosa vipindi vya masomo vya siku husika hapo unakua umemkomoa nani?Siku ratiba ikionyesha mgombea wa CCM yuko eneo lenu,mzazi usiluhusu mwanao aende shule,hiyo ndiyo dawa.