OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mdau najua wewe ni shahidi.Kila makao makuu ya mkoa anapopita Mgombea wa CCM na mgombea mwenza kumekuwa na tabia ya kuachisha masomo wanafunzi na kusombwa kuhudhulia mkutano.
Hii sio haki kwani hii ni mikutano ya kichama na inavuruga mwenendo wa masomo yao.
Mwalimu mmoja jana akanitaka kama nipo karibu na Tundu Lissu nimuombe akemee jambo hili ili lisiendelee. Nami nimemtaka Mtumishi wetu Tundu Lissu akeeme jambo hili haraka,kama ulivyokemea udhalilishaji kwa kina mama nk.