Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Anayo haki ya hizo executive orders na hata marais wengine wameshazitoa.Trump anawaumbua Wazungu kwa unafiki wao. Wakome sasa kutulecture sisi kuhusu democracy na waanzie kwako
Yaani mtu mmoja anaibuka na tamko tu au Executive Order moja tuu na kila Muhimili unaufyata kimyaaa
Sasa hivi amefuta msaada kwa nchi ya Ukraine kwa kutoa tamko tu wakati misaada mingine ilipitishwa Senate
Si kweli.Yani USA sasa haina tofauti na nchi za kiafrika maamuzi yanatolewa na mtu mmoja tu
Ni sahihi. Point ya mtoa mada ilikuwa kwamba Rais wa Marekani na yeye ana mamlaka makubwa sana tu - kama akina Nkurunzinzas, Musevenis and Mugabes wa Africa na kuna maamuzi anayafanya binafsi bila kuulizwa au kuwa checked na yeyoteAnayo haki ya hizo executive orders na hata marais wengine wameshazitoa.
Ni Rais gani wa Marekani ambaye hakuwa kutumia executive order?
💯%!Maamuzi anayofanya Trump YAPO ndani ya mamlaka yake kama Rais, mimi na wewe pamoja na wamarekani Gen Z tunaona ajabu kwasababu ni kwa muda mrefu rais hajawahi kutumia mamlaka yake namna hii
Hapana. Rais wa Marekani hana mamlaka makubwa kama akina Samia.Ni sahihi. Point ya mtoa mada ilikuwa kwamba Rais wa Marekani na yeye ana mamlaka makubwa sana tu - kama akina Nkurunzinzas, Musevenis and Mugabes wa Africa na kuna maamuzi anayafanya binafsi bila kuulizwa au kuwa checked na yeyote
Nalo hilo la impeachment linawezekana kama ndani ya siku 100 tu za utawala wake ndio haya tunayoyashuhudia mbeleni tunaweza kuliona hilo la kumtaka aondoke madarakani.Kavizuia kwasababu katiba inamruhusu kuvizuia , angekuwa kavunja sheria kwa kufanya hivyo tayari wapinzani wangeanza zengwe la impeachment ili aondolewe
Si kweli.Basi mfumo wao wa uongozi ni mbovu sana!
Kwahiyo pale alipo anaweza hata kuamuru kubonyezwa kitufe cha nyukilia kulipua nchi flani bila kuingiliwa na yeyote.
Ndio utapata tafakuri ya kijitabu vs utashiWakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja. Kwamba katiba yao ndio inaamua, kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.
Lakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Yani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?
Angekuwa ni mtu mwenye nguvu sana basi Clinton na Trump wangewafunga jela wapinzani wao ambao waliendesha kampeni za kuwa impeach.Nimeshaawahi kuuliza hili swala kwa wale mahbuuba wa usa .. nimegundua rais wa usa ni mtu mwenye nguvu sana
Mbona sasa afrika sio us na usa sio afrika.Yani USA sasa haina tofauti na nchi za kiafrika maamuzi yanatolewa na mtu mmoja tu
Wabeba maboksi na wapenda vya bure walikuwa na kelele sana, wameumbukaWakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja. Kwamba katiba yao ndio inaamua, kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.
Lakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Yani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?
Elon ni raia wa Marekani.Inashangaza sana, Trump kamchukua mshkaji wake mr Elon Musk ambaye sio raia wa Marekani na kumpa wizara mpya.
Kumbe hata marekani Rais ndie muamuzi mkuu
Hamna vya bure "Marekani hata wenyewe wana msemo wao there is no free lunch in America"Maslahi ya matajiri kama Musk, siku akitoa huduma za Afya, Elimu na vitu vingine vya msingi bure nishtue, Ulaya, Middle East na karibia Nchi zote Tajiri Duniani vitu kama Afya na Elimu si tatizo tena ila Nchi kubwa kama Usa bado wanajadili Bima za Afya kama Tanzania tu. Kupata Degree unaingia Deni unalolipa karibia maisha yote.
je hii sio wizara mpya inayoongozwa na Elon Musk ambaye ni raia wa south africaElon ni raia wa Marekani.
Elon hajapewa wizara mpya.
Hizo taarifa kuwa Elon siyo raia na kuwa kapewa wizara mpya wewe umezitoa wapi?
Siyo wizara hiyo 🤣.je hii sio wizara mpya inayoongozwa na Elon Musk ambaye ni raia wa south africa
View attachment 3258707
Wakuu, kwa miaka mingi tuliambiwa maamuzi yoyote pale USA ni ya taasisi na si mtu mmoja. Kwamba katiba yao ndio inaamua, kwamba hata akija Rais kichaa anaongoza maana yeye si mtoa maamuzi pekeake.
Lakini hiki tunachoshuhudia sasa hivi mbona ni kama Afrika tu?
Yani Trump sasa hivi anaweza kuamka tu na kutoa tamko kwamba toa hiki weka pale, kile leta hapa.
Mfano mzuri ni ishu misaada kwa Afrika, na hili la kujitoa WHO na sasa eti anapanga kujitoa UN.
Mbona mimi naona kama US mfumo wao wa uongozi ni mbovu kuliko Afrika?