Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
"Kesho J3,asubuhi, nitaungana na Familia ya CHADEMA katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kusikiliza hukumu ya kesi inayomkabili Mdude Nyagali, Mdude amepitia miaka 5 ya mateso na uonevu usio kifani.ataheshimishwa kwa kuisimamia Imani! Naamini haki itatendeka."-
@freemanmbowetz
Screenshot_20210613-144032.png



1623650735729.png
 
Ataheshimishwa kivipi yaani mtueleweshe! Kuna harufu Mbowe anataka dogo ale mvua ili apate stori ya kuzugia majukwaani.
 
Tatizo la mdude ni kukosa akili za kawaida! Ajifunze kwa Mbowe huyo huyo, alishawahi kumuona akimtukana kiongozi yeyote hadharani?


Afanye siasa safi, habari za kukososa kwa kuwatukana viongozi wa juu kabisa ambao kicha ya uongozi wao hata kiumri ni sawa na baba zake au kaka zake sio sawa kabisa.

Japokuwa kabambiwa kesi ila kuna la kujifunza katika kila ujinga na upumbavu
 
Na ndo vijana mjifunze kua kuna maisha binafsi nje ya siasa. Wanaopata tabu ni ndugu zake hali Mbowe hajawahi hata kumfanyia mpango mkewe apelekewe hata elf 70 tu.
 
Wale wafuatiliaji wa "Zalim Instanbul" au the city ile kesi ya Nedim ya jaribio ya kumuua madam Seiniz hajuweza kuchomoka mpaka pale Nesi alivyomtait madam Seiniz akaweza kusema aachiwe.

Hii kesi Mdude hatoboi maana kila ushahidi unaonesha amehusika. Cha kufanya mpaka yuke dada anaetuhumiwa kumkamatisha Mdude ndo atafutwe aombwe asimame kizimbani aeleze ukweli. La sivyo atakula nyundo nyingi sana.

Dunia uwanja wa fujo...ni kama mbuga.
 
Back
Top Bottom