Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Tatizo la mdude ni kukosa akili za kawaida! Ajifunze kwa mbowe huyo huyo, alishawahi kumuona akimtukana kiongozi yeyote hadharani? Afanye siasa safi, habari za kukososa kwa kuwatukana viongozi wa juu kabisa ambao kicha ya uongozi wao hata kiumri ni sawa na baba zake au kaka zake sio sawa kabisa. Japokuwa kabambiwa kesi ila kuna la kujifunza katika kila ujinga na upumbavu
Kwa hiyo unakiri kuwa Mdude alimtukana Mwendazake na siyo kwamba alifanya biashara ya dawa za kulevya!! FINE.
Simtetei Mdude kwa kosa la kutukana Ila Serikali ilipaswa imshitaki kwa kutukana na siyo KUMBAMBIKIZIA kesi ya dawa za kulevya.

Tatizo moja ninaloamini kwa haiba ya Mwendazake na kauli zake majukwaani yeye mwenyewe alikuwa ndiye KINARA wa matusi kwa wananchi. Isitoshe yeye mwenyewe Magufuli amewahi kujiita ni KICHAA. Ingekuwa vigumu kumhukumu mwananchi kwa kumtusi Magufuli
 
SHETANI WEWE NA WENZIO MNAOOLEWAGA ULAYA MNAJIFANYA WAKIMBIZI KUMBE MNAENDA KUGO
Utamtambua shetani kwa maneno na matendo yake, sasa nieleze tofauti yako na shetani ni ipi?
 
Na ndo vijana mjifunze kua kuna maisha binafsi nje ya siasa. Wanaopata tabu ni ndugu zake hali Mbowe hajawahi hata kumfanyia mpango mkewe apelekewe hata elf 70 tu.
Unafahamu lugha ya kiswahili kweli wewe?
 
Na ifike mahala sasa, watu wafanye mambo kwa ajili ya familia zao na wake zao, kujifanya mwanaharakati huku wazazi wamekusomesha uje uwape faida haya ndio madhara yake sasa. mwenyekiti yeye anakula maisha. Yeye miaka mitano mahabusu mke na watoto wanakufa njaa
Hujui kitu wewe.
Kwani ukiwa mwanasiasa huwezi kuinufaisha familia?Muwe mnafikiri japo kidogo.Mfano wanasiasa hawana mishahara?.
 
Mdude kasaidiwa sana na chama chake - kama huna details kukaa kimya nako huwa ni busara !! Wenzako wanahangaika kuandika Legacy ya jamaa cha ajabu bado wapo kwenye introduction mwezi wa nne sasa sijui kajitabu kataisha lini - kaongeze nguvu achana na Mdude - mwendazake mwenyewe kamshindwa katoka nduki itakuwa weye !!
 
Hutaweza kupambana na chadema wewe mdesaji toka chuo cha mwalimu nyerere hapo kivukoni. Kamuulize mwendazake huko alipo. Alisema anataka kufuta upinzani sasa yupo wapi??? We unapayuka tu hapo na kadegree kako kamoja ka kudesa. Hovyoooo
Ibilisi wa kwanza ni mbowe, anatoa watu wasio na hatia chambo wakati yeye anapiga misele kutafuta hela za saccos
 
Back
Top Bottom