Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 6,602
- 10,801
Wakala wa biashara chafu za makengezaHivi huyu mdude anahukumiwa kwa kosa gani? Je, ni mambo ya chama chake? Au ndoano ilikamata kitoweo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakala wa biashara chafu za makengezaHivi huyu mdude anahukumiwa kwa kosa gani? Je, ni mambo ya chama chake? Au ndoano ilikamata kitoweo!!
Nani anawaongonza kubambikia watu kesi za uongo hapa ndiyo utajua kwanini Yesu alisema watoto wa ibilisi Ni dhahiri na watoto wa Mungu Ni dhahiri. Mtawambikizia watu kesi mpaka lini enyi Wana wa ibilisi?.Yesu kasema Msiwashitaki watu kwa uongo lakini bado mnashitaki watu kwa uongo.Wazee wa hashtag wa twitter wakamtoe, ufipa mnajazanaga ujinga mkiongozwa na mbowe tapeli
Akitoka ajirekebisheKesi Haina uthibitisho usio acha shaka, waliobumba hii kessi wameshindwa kuithibitishia mahakama kuwa mdude ndiye muhusuka wa hizo drugs
So kesho mdude anaenda kuachiwa na kuendelea na life lake kama kawaida.
Usifananishe Mandela na vitu vya kipumbavuNa mandela aliyefungwa 27 years ungesemaje sasa?? Acha kutosha watu wewe!
Mdude kuwa ndani Ni moja ya kazi za kiibilisi za magufuriWakala wa biashara chafu za makengeza
kwanini Yesu alisema watoto wa ibilisi Ni dhahiri na watoto wa Mungu Ni dhahiri.
Labda kwenye biblia za ufipaYesu kasema Msiwashitaki watu kwa uongo
Ibilisi wa kwanza ni mbowe, anatoa watu wasio na hatia chambo wakati yeye anapiga misele kutafuta hela za saccosMdude kuwa ndani Ni moja ya kazi za kiibilisi za magufuri
Mzimu wa mwendakuzimu bado unakuandama tuWazee wa hashtag wa twitter wakamtoe, ufipa mnajazanaga ujinga mkiongozwa na mbowe tapeli
Mbowe ndiye aliyempa hiyo biashara haramu?Mbowe anapiga misele huko, jamaa anateseka mwenyewe,
Kwani wewe ni Mtanzania tangu lini? Kwenda kwenu!Nitoe sina mwanafamilia aliyekosa adabu kama mdude , Nina familia yangu tofauti kabisa
Kumbe anashtakiwa kwa kutukana wakubwa?Huyo kilaza ale mvua ya kutosha kama sio maisha kabisa hata nyundo 30 ajifunze na hizo harakati zake za kishamba bila shule, kuropoka na kutukana wakubwa wa nchi kana kwamba sheria za nchi hazijui.
Umeshakanyaga mafuta.?, Kunywa na maji ya upako kabisa ndo tupambaneMzimu wa mwendakuzimu bado unakuandama tu
Njoo kwenye maombi hapa kwa Mwamposa
Aliyekamatwa ni kada wa chama gani..?Mbowe ndiye aliyempa hiyo biashara haramu?
Dawa ya moto ni majiWewe nenda kagalegale kwenye Kaburi la Ibilisi
Ukada unahusiana vipi na mashtaka yanayomkabili?Aliyekamatwa ni kada wa chama gani..?
Inaelekea unanijua saana wewe ,[emoji3][emoji3][emoji3]Kwani wewe ni Mtanzania tangu lini? Kwenda kwenu!
Luka 3:14 soma ilo andiko utajua. Acha kuropoka hovyoLabda kwenye biblia za ufipa
mhh! kwa swala la kutomtaja miaka 5 wasema ULOOONGO..Unafiki mbaya sana kwa wanasiasa miaka 5 hakuwahi hata kumtaja kinywani mwake isingekua hiyo ziara ya kuzindua mavazi na vitambulisho vya saccos angehudhuria lini!
upumbavu wa vijana wachache wanaolewa ushabiki huyu kijana atakuwa amejifunza mnaomhurumia mngekuwaga mnakujana maandiko aliyokuwaga anaandika niaibu"Kesho J3,asubuhi, nitaungana na Familia ya CHADEMA katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kusikiliza hukumu ya kesi inayomkabili Mdude Nyagali, Mdude amepitia miaka 5 ya mateso na uonevu usio kifani.ataheshimishwa kwa kuisimamia Imani! Naamini haki itatendeka."-
@freemanmbowetz
View attachment 1817334
View attachment 1818165
Usimjibu zezeta huyu kafiwa na mungu wake ana stress sana.Ukada unahusiana vipi na mashtaka yanayomkabili?