Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Sawa..ila sio kwa aproach za kina mdude na kina lisu...ukifanya vile popote dunian lazima maisha yako uyaweke rehan...we ushawai msikia shangaz anatukana mtu..au ai anatoa siri za ndan za watu akiwa nchini..anaefanya hvyo ni kimambi tu tena saban hayuko nchin..kuwa mwanaharak lakin uwe mwerevu kwa dunia ya sasa .bila hivo.utapotezwa tuKuna wakati kwenye maisha inabidii ujitolee kwa faida ya vizazi vijavyo. Na hii inaweza kuathiri hata familia yako.
Mfano, Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27 kwa ajili ya harakati za kuikomboa SA. Hiyo miaka 27 familia yake iliteseka zaidi na ndoa yake kuvunjika!!
Asingejitolea labda SA bado mpaka sasa hivi ingeendelea kutawaliwa na makaburu na yeye binafsi na familia yake wangekuwa na maisha mazuri.
Angalia Russia kuna watu wamewekwa gerezani wengine kuuwawa na familia zao kutishiwa lakini bado kuna watu kila kukicha wanajitokeza kukemea maovu.
Take a look at the bigger picture; Kama waliotutangulia wasingejitolea zaidi ya familia zao labda hata haya maisha ya sasa hivi tunaofaidi na familia zetu tusingekuwa nayo!!
You have to see beyond youself and your family!!