Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Viherehere ndo vinavyowaponza, wenzao wanakula maisha uraiani wao kujifanya wanaharakati, kiko wapi sasa zaidi ya kumtia stress baba yake na mama ake,, big up sana kina halima mdee na wenzake kwa kuangalia maisha yao kwanza kisha hayo mambo ya mavyama watajijua wenyewe, nchi hii hakuna mpinzani wala mwanaharakati wote wapigaji, ukijitia kiherehere kuungana na likitokea la kutokea wanakuchora tu.
 
Kumuwekea wanasheria sio msaada? Mataga bana toka Jiwe akutane na mkono wa bwana wamechanganyikiwa kweli mara waote ndoto za mchana , usiku .
Screenshot_20210609-080315.png
 
Tuliza akili mkuu! Hujaona nimesema kuwa japo kesi ya kubambikiwa?

Kumbe tunakubaliana sote kuwa kesi hii ni kama zile 147 za TAKUKURU tu.

Kwa mtaji huu wa kubambikiziana kesi mbona hatuna cha kujifunza kwa mtu bali ni suala la muda tu mbambikaji ataamka vipi.

Kwamba kileleni sasa yupo mama Samia rais mpenda haki basi huyu ndiyo angalau wa kumtumaini kwa sasa wala si kwa kujifunza kwa awaye yote.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Unafiki mbaya sana kwa wanasiasa miaka 5 hakuwahi hata kumtaja kinywani mwake isingekua hiyo ziara ya kuzindua mavazi na vitambulisho vya saccos angehudhuria lini!
Mdude aliwekwa ndani kipindi ya mwendazake, na hao unaowaita wanafik nao walikuwa wakipitia maswahiba yao, kama vile kufungiwa accounts zao za mabenk, kuvunjiwa bustani zao, kupigwa marufuku hata mikutano ya ndani ya siasa.

kibaya zaidi, hata wangepaza sauti juu ya mdude nyangali, zingendikwa kwny gazeti lipi lisilotaka kufungiwa? wangeongea kwny tv ama redio ipi isiyotaka kufungiwa?

Apende asipende, mama tutamwongezea muda wa kutawala
 
Viherehere ndo vinavyowaponza, wenzao wanakula maisha uraiani wao kujifanya wanaharakati, kiko wapi sasa zaidi ya kumtia stress baba yake na mama ake,, big up sana kina halima mdee na wenzake kwa kuangalia maisha yao kwanza kisha hayo mambo ya mavyama watajijua wenyewe, nchi hii hakuna mpinzani wala mwanaharakati wote wapigaji, ukijitia kiherehere kuungana na likitokea la kutokea wanakuchora tu.
Hayo manung'aembe akina halima mdee, bulaya, matako ooh sory matiko na wengine waliochakachuliwa na ndugai wanakutia uamuzi wao

Sent from my HUAWEI LUA-U22 using JamiiForums mobile app
 
Magufuli pepo mchafu kabisa.
Eti kuna watu walikuwa hawaambiliki lolote juu ya Magufuli.
75% ya Watanzania ni wehu.
 
Sawa.ila watoto wanakufa njaa nyumban.na mkeo pia hal si nzur...hata chuo tulikua tunawambia wale waongoza migomo..kuwa kumbuka umetumwa na kijij hapa. Usishindane na serikal kihivyo tumia akil..pambana kwa akil..
Ndio maana yake kina Mnyika walitimuliwa chuo ila leo ndio vijana wanafaidi boom....bila wao kuleta harakati pengine wangekua under compensated tena beneficiaries wakiwa wachache sana!!

Kila struggle inahitaji kina Nyerere sio wanaojali matumbo na familia zao tu kma unavyotaka.
 
Mdude aliwekwa ndani kipindi ya mwendazake, na hao unaowaita wanafik nao walikuwa wakipitia maswahiba yao, kama vile kufungiwa accounts zao za mabenk, kuvunjiwa bustani zao, kupigwa marufuku hata mikutano ya ndani ya siasa.

kibaya zaidi, hata wangepaza sauti juu ya mdude nyangali, zingendikwa kwny gazeti lipi lisilotaka kufungiwa? wangeongea kwny tv ama redio ipi isiyotaka kufungiwa?

Apende asipende, mama tutamwongezea muda wa kutawala
Tunampenda mwenyekiti SAMIA HASSAN SULUHU!
 
Back
Top Bottom