Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Selfishness at its best!!
Ingekuwa kila mtu alikuwa na mawazo kama ya kwako. Tusinge pata uhuru 1961!!
Wakati una enjoy freedom leo. Elewa kuna wana harakati walipoteza maisha yao wakipigania uhuru!!!
Sawa.ila watoto wanakufa njaa nyumban.na mkeo pia hal si nzur...hata chuo tulikua tunawambia wale waongoza migomo..kuwa kumbuka umetumwa na kijij hapa. Usishindane na serikal kihivyo tumia akil..pambana kwa akil..
 
Nyerere angewaza hivi ingekuaje? Nadhani kila mwana siasa anafaham kila harakati zina hasara zake!! So he was prepared. Mbowe unayemsifia amekula loss ya 2 Billion in assets and inflows.
Sawa.ila watoto wanakufa njaa nyumban.na mkeo pia hal si nzur...hata chuo tulikua tunawambia wale waongoza migomo..kuwa kumbuka umetumwa na kijij hapa. Usishindane na serikal kihivyo tumia akil..pambana kwa akil..
 
Familia yako ni Watanzania wote na ndiyo sababu Mdude anaombewa na wote kwani anatetea na kuteswa kwa ajili ya wote!
Sawa.ila watoto wanakufa njaa nyumban.na mkeo pia hal si nzur...hata chuo tulikua tunawambia wale waongoza migomo..kuwa kumbuka umetumwa na kijij hapa. Usishindane na serikal kihivyo tumia akil..pambana kwa akil..
 
Jamaa atafungwa mwili lakini mawazo yake hayatafungwa, dikteta yuko wapi kafa kawaacha aliowapiga risasi wana dunda mtaani taratibu
Haya maneno kamwambie mkew na watoto wake na wazaz wake uone kama watakuelewa....aache kutukana watu hovyo..hii dunia ingekua kila mtu anamtukana mwenzie hadharan na kuibua tu siri za watu hovyo pasingekalika hapa..ndomana kuna staha na vipimo tena kwa watu waliokuzid umr.
 
Na ifike mahala sasa..watu wafanye mambo kwa ajili ya familia zao na wake zao...kujifanya mwanaharakat huku wazaz wamekusomesha uje uwape faida.haya ndo madhara yake sasa..mwenyekit yeye anakula maisha..yeye miaka mi5 mahabusu mke na watoto wanakufa njaa
Mdude amekaa mahabusu miaka mitano?!
 
Sawa.ila watoto wanakufa njaa nyumban.na mkeo pia hal si nzur...hata chuo tulikua tunawambia wale waongoza migomo..kuwa kumbuka umetumwa na kijij hapa. Usishindane na serikal kihivyo tumia akil..pambana kwa akil..
Sawa hiki ndiyo kizazi kipya kinachojali matumbo yao! Kumbuka kuna watu walipigania hicho unachofaidi sasa!
 
Pamoja ya kuwa uonevu siyo mzuri, ila ukosoaji wa Mdude ulivuka mipaka, haukuwa ni ukosoaji bali ni matusi! Tena kwa kutumia jina lake kabisa, hao akina kigogo aliokuwa anawaiga hadi leo wanatumia fake ids, Akina Shangazi huwakuti wanatukana tukana hovyo! Humu jf watu wanamatusi sana ila ni kwa fake ids na ni waoga kama nini! Alikosea sana, hakuushirikisha ubongo katika ukosoaji wake, kuna maisha baada ya uanaharakati
 
Kesi yake ni kutukana uongozi au ni madawa ya kulevya?

Kwenye kesi kama hiyo ana nini cha kujifunza kwa Mbowe? Au Mbowe anafanya biashara hizo?

Mbona hueleweki mkuu?
Tuliza akili mkuu! Hujaona nimesema kuwa japo kesi ya kubambikiwa?
 
Haya maneno kamwambie mkew na watoto wake na wazaz wake uone kama watakuelewa....aache kutukana watu hovyo..hii dunia ingekua kila mtu anamtukana mwenzie hadharan na kuibua tu siri za watu hovyo pasingekalika hapa..ndomana kuna staha na vipimo tena kwa watu waliokuzid umr.
Ameshitakiwa kwa kutukana au madawa ya kulevya?
 
Pamoja ya kuwa uonevu siyo mzuri, ila ukosoaji wa Mdude ulivuka mipaka, haukuwa ni ukosoaji bali ni matusi! Tena kwa kutumia jina lake kabisa, hao akina kigogo aliokuwa anawaiga hadi leo wanatumia fake ids, Akina Shangazi huwakuti wanatukana tukana hovyo! Humu jf watu wanamatusi sana ila ni kwa fake ids na ni waoga kama nini! Alikosea sana, hakuushirikisha ubongo katika ukosoaji wake, kuna maisha baada ya uanaharakati
brazaj soma hapa kama mm hukunielewa
 
Sawa.ila watoto wanakufa njaa nyumban.na mkeo pia hal si nzur...hata chuo tulikua tunawambia wale waongoza migomo..kuwa kumbuka umetumwa na kijij hapa. Usishindane na serikal kihivyo tumia akil..pambana kwa akil..
Kuna wakati kwenye maisha inabidii ujitolee kwa faida ya vizazi vijavyo. Na hii inaweza kuathiri hata familia yako.
Mfano, Nelson Mandela alikaa gerezani miaka 27 kwa ajili ya harakati za kuikomboa SA. Hiyo miaka 27 familia yake iliteseka zaidi na ndoa yake kuvunjika!!
Asingejitolea labda SA bado mpaka sasa hivi ingeendelea kutawaliwa na makaburu na yeye binafsi na familia yake wangekuwa na maisha mazuri.
Angalia Russia kuna watu wamewekwa gerezani wengine kuuwawa na familia zao kutishiwa lakini bado kuna watu kila kukicha wanajitokeza kukemea maovu.

Take a look at the bigger picture; Kama waliotutangulia wasingejitolea zaidi ya familia zao labda hata haya maisha ya sasa hivi tunaofaidi na familia zetu tusingekuwa nayo!!
You have to see beyond youself and your family!!
 
Back
Top Bottom