Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Tatizo la mdude ni kukosa akili za kawaida! Ajifunze kwa mbowe huyo huyo, alishawahi kumuona akimtukana kiongozi yeyote hadharani? Afanye siasa safi, habari za kukososa kwa kuwatukana viongozi wa juu kabisa ambao kicha ya uongozi wao hata kiumri ni sawa na baba zake au kaka zake sio sawa kabisa. Japokuwa kabambiwa kesi ila kuna la kujifunza katika kila ujinga na upumbavu

Kesi yake ni kutukana uongozi au ni madawa ya kulevya?

Kwenye kesi kama hiyo ana nini cha kujifunza kwa Mbowe? Au Mbowe anafanya biashara hizo?

Mbona hueleweki mkuu?
 
Unafiki mbaya sana kwa wanasiasa miaka 5 hakuwahi hata kumtaja kinywani mwake isingekua hiyo ziara ya kuzindua mavazi na vitambulisho vya saccos angehudhuria lini!
Angesaidiwaje nawakati kulikuwa na jabali dictator liloangamiza wenzake bila huruma, limetwaliwa Sasa...ndo haki inatokea tena
 
Selfishness at its best!!
Ingekuwa kila mtu alikuwa na mawazo kama ya kwako. Tusinge pata uhuru 1961!!
Wakati una enjoy freedom leo. Elewa kuna wana harakati walipoteza maisha yao wakipigania uhuru!!!
Hata hizo biashara anazofanya leo kuna watu walisacrifice maisha yao ili kuwa na uhuru wa kufanya biashara kwa kila mtu.

Utawala wa kina Mkapa na Kikwete ulizalisha watu wajinga wengi sana.
 
Back
Top Bottom