Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Na ifike mahala sasa..watu wafanye mambo kwa ajili ya familia zao na wake zao...kujifanya mwanaharakat huku wazaz wamekusomesha uje uwape faida.haya ndo madhara yake sasa..mwenyekit yeye anakula maisha..yeye miaka mi5 mahabusu mke na watoto wanakufa njaa
Familia yako ni Watanzania wote na ndiyo sababu Mdude anaombewa na wote kwani anatetea na kuteswa kwa ajili ya wote!
 
Kesi Haina uthibitisho usio acha shaka, waliobumba hii kessi wameshindwa kuithibitishia mahakama kuwa mdude ndiye muhusuka wa hizo drugs

So kesho mdude anaenda kuachiwa na kuendelea na life lake kama kawaida.
We pimbi umepitia jalada la kesi?
 
Huyo kilaza ale mvua ya kutosha kama sio maisha kabisa hata nyundo 30 ajifunze na hizo harakati zake za kishamba bila shule, kuropoka na kutukana wakubwa wa nchi kana kwamba sheria za nchi hazijui.
 
Na ifike mahala sasa..watu wafanye mambo kwa ajili ya familia zao na wake zao...kujifanya mwanaharakat huku wazaz wamekusomesha uje uwape faida.haya ndo madhara yake sasa..mwenyekit yeye anakula maisha..yeye miaka mi5 mahabusu mke na watoto wanakufa njaa
Nyerere angewaza hivi ingekuaje? Nadhani kila mwana siasa anafaham kila harakati zina hasara zake!! So he was prepared. Mbowe unayemsifia amekula loss ya 2 Billion in assets and inflows.
 
Na ifike mahala sasa..watu wafanye mambo kwa ajili ya familia zao na wake zao...kujifanya mwanaharakat huku wazaz wamekusomesha uje uwape faida.haya ndo madhara yake sasa..mwenyekit yeye anakula maisha..yeye miaka mi5 mahabusu mke na watoto wanakufa njaa
Selfishness at its best!!
Ingekuwa kila mtu alikuwa na mawazo kama ya kwako. Tusinge pata uhuru 1961!!
Wakati una enjoy freedom leo. Elewa kuna wana harakati walipoteza maisha yao wakipigania uhuru!!!
 
Unafiki mbaya sana kwa wanasiasa miaka 5 hakuwahi hata kumtaja kinywani mwake isingekua hiyo ziara ya kuzindua mavazi na vitambulisho vya saccos angehudhuria lini!
Naamini huu ni uongo. Mara zkte wamekuwa wamtaja popote wapatapo fursa na kumsaidia kisheria. Tusubiri matokeo kesho
 
Na ifike mahala sasa..watu wafanye mambo kwa ajili ya familia zao na wake zao...kujifanya mwanaharakat huku wazaz wamekusomesha uje uwape faida.haya ndo madhara yake sasa..mwenyekit yeye anakula maisha..yeye miaka mi5 mahabusu mke na watoto wanakufa njaa
Jamaa atafungwa mwili lakini mawazo yake hayatafungwa, dikteta yuko wapi kafa kawaacha aliowapiga risasi wana dunda mtaani taratibu
 
Back
Top Bottom