Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
CCM inaenda kumuona Sabaya lini?Unafiki mbaya sana kwa wanasiasa miaka 5 hakuwahi hata kumtaja kinywani mwake isingekua hiyo ziara ya kuzindua mavazi na vitambulisho vya saccos angehudhuria lini!
Ulitaka wafanye nini, wamsaidie kutoroka?
Amemtaja sana na wale vijana wao wametafuta wakili kwa ajili ya hii kesi. labda ww ndio hufuatiliiUnafiki mbaya sana kwa wanasiasa miaka 5 hakuwahi hata kumtaja kinywani mwake isingekua hiyo ziara ya kuzindua mavazi na vitambulisho vya saccos angehudhuria lini!
Na ifike mahala sasa, watu wafanye mambo kwa ajili ya familia zao na wake zao, kujifanya mwanaharakati huku wazazi wamekusomesha uje uwape faida haya ndio madhara yake sasa. mwenyekiti yeye anakula maisha. Yeye miaka mitano mahabusu mke na watoto wanakufa njaaMakengeza akamsaidie sasa
Aliyemfikisha Hapo kaanza Kuoza Kaburini wamebaki kichwaKesho anakula si chini ya mvua 30
Na wewe kamfufue huyuMakengeza akamsaidie sasa