Tulikuwa wapi kumsaidia Mdude mpaka tunasubiri siku ya hukumu? Huu ni uzembe mkubwa

Kwa hiyo unakiri kuwa Mdude alimtukana Mwendazake na siyo kwamba alifanya biashara ya dawa za kulevya!! FINE.
Simtetei Mdude kwa kosa la kutukana Ila Serikali ilipaswa imshitaki kwa kutukana na siyo KUMBAMBIKIZIA kesi ya dawa za kulevya.

Tatizo moja ninaloamini kwa haiba ya Mwendazake na kauli zake majukwaani yeye mwenyewe alikuwa ndiye KINARA wa matusi kwa wananchi. Isitoshe yeye mwenyewe Magufuli amewahi kujiita ni KICHAA. Ingekuwa vigumu kumhukumu mwananchi kwa kumtusi Magufuli
 
SHETANI WEWE NA WENZIO MNAOOLEWAGA ULAYA MNAJIFANYA WAKIMBIZI KUMBE MNAENDA KUGO
Utamtambua shetani kwa maneno na matendo yake, sasa nieleze tofauti yako na shetani ni ipi?
 
Na ndo vijana mjifunze kua kuna maisha binafsi nje ya siasa. Wanaopata tabu ni ndugu zake hali Mbowe hajawahi hata kumfanyia mpango mkewe apelekewe hata elf 70 tu.
Unafahamu lugha ya kiswahili kweli wewe?
 
Hujui kitu wewe.
Kwani ukiwa mwanasiasa huwezi kuinufaisha familia?Muwe mnafikiri japo kidogo.Mfano wanasiasa hawana mishahara?.
 
Mdude kasaidiwa sana na chama chake - kama huna details kukaa kimya nako huwa ni busara !! Wenzako wanahangaika kuandika Legacy ya jamaa cha ajabu bado wapo kwenye introduction mwezi wa nne sasa sijui kajitabu kataisha lini - kaongeze nguvu achana na Mdude - mwendazake mwenyewe kamshindwa katoka nduki itakuwa weye !!
 
Hutaweza kupambana na chadema wewe mdesaji toka chuo cha mwalimu nyerere hapo kivukoni. Kamuulize mwendazake huko alipo. Alisema anataka kufuta upinzani sasa yupo wapi??? We unapayuka tu hapo na kadegree kako kamoja ka kudesa. Hovyoooo
Ibilisi wa kwanza ni mbowe, anatoa watu wasio na hatia chambo wakati yeye anapiga misele kutafuta hela za saccos
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…