Tulikuwaga na ndoto za kuoa wazungu ila sasa basi Afrika tuna warembo...

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,846
Hello wana MMU. Ujana bwana una mambo mengi mengine ya kitoto kabisa.

Umeshawahi kusikia kuhusu Skin Surgery au Plastic Surgery?

Wakati tunaingia ujanani wengine tulikuwa tunakebehi wadada wetu wa Afrika kuwa sio warembo na tulipokuwa tunaona Wazungu wajicream, na wamepiga make up tukajua hawa ndo warembo sasa.

Tukathubutu mpaka kuwa na ndoto za kuoa uzunguni pasi kujua kuwa wazungu ndo hawana urembo wowote tulidanganywa kwa makeups zao za kiteknolojia na njia za kisayansi za kuongeza urembo kwa skin surgery na plastic surgery nyingine ili kujitotorisha

Ndio maana nikawa najiuliza mbona hawa wazungu wa kike hawazeeki kina Beyonce toka mdogo mpaka leo anaonekana ka binti kumbe ni skin surgery ndo zinawasaidia kuonekana warembo kumbe ni vizee.

Kwasasa nadiriki kusema madada zetu wa kiafrika ni warembo kwanza hawatumii hayo ma modification wala maskini and plastic surgery.

Sasa sitaki tena kuwa na ndoto za kuoa mzungu they aren't real, I appreciate my African beautiful black skinned girl.

Womens of Today na Nyie tuwaulize Why DO YOU use make ups si mbaki tu na uzuri wenu
 
Hivi kuna mwanamke gani katika galaxy hii mwenye hatumii urembo bandia katika mwili wale?

Kwa tafiti za haraka haraka zinaonesha ni asilimja ndogo ya wanawake ambao age yao kuanzia 20 na kuendelea wana nyusi zao za asili. Wengi wao wamepuruni wamepaka ink

Hao unaowaita wazuri kwasababu hawatumii skin surgery, wengi wao ni upina tu umewaandama. Ni ndoto ya wanawake wengi kuwa warembo ila ugumu unakuja kwenye gharama za huo urembo

Watu wanalazimika kufanya hivyo kwasababu kipato chao hakiwaruhusu wao bleech hiyo ngozi kwa kiwango cha kina beyonce
 
Ni umasikini tu. Hakuna mwanamke asiyependa kuwa na chuchu saa sita in her 40's
 
Kulekebisha body ukasahau engine ni kaz bure tu, sura nzur ila papuchi ka ya dog alietoka kupandwa
 
Nenda kasome tena. Kijijini kwenu Beyonce anaonekana Mzungu, siyo?
Ndo maana nikawa najiuliza mbona hawa wazungu wa kike hawazeeki kina Beyonce toka mdogo mpaka leo anaonekana ka binti kumbe ni skin surgery ndo zinawasaidia kuonekana warembo kumbe ni vizee.
 
Hello wana MMU. Ujana bwana una mambo mengi mengine ya kitoto kabisa.

Umeshawahi kusikia kuhusu Skin Surgery au Plastic Surgery?

Wakati tunaingia ujanani wengine tulikuwa tunakebehi wadada wetu wa Afrika kuwa sio warembo na tulipokuwa tunaona Wazungu wajicream,na wamepiga make up tukajua hawa ndo warembo sasa.

Tukathubutu mpaka kuwa na ndoto za kuoa uzunguni pasi kujua kuwa wazungu ndo hawana urembo wowote tulidanganywa kwa makeups zao za kiteknolojia na njia za kisayansi za kuongeza urembo kwa skin surgery na plastic surgery nyingine ili kujitotorisha

Ndo maana nikawa najiuliza mbona hawa wazungu wa kike hawazeeki kina Beyonce toka mdogo mpaka leo anaonekana ka binti kumbe ni skin surgery ndo zinawasaidia kuonekana warembo kumbe ni vizee.

Kwasasa nadiriki kusema madada zetu wa kiafrika ni warembo kwanza hawatumii hayo ma modification wala maskin and plastic surgery...
Sasa sitaki tena kuwa na ndoto za kuoa mzungu they aren't real, I appreciate my African beautiful black skinned girl.....!

Womens of Today na Nyie tuwaulize Why DO YOU use make ups si mbaki tu na uzuri wenu!!
Dogo una kasi ya kuanzisha thread
 
Hapo kwa Beyonce tumia mfano mwingine.

Huyo demu bado mdogo kiumri, japo kanipita miaka kadhaa ila akinipa papa namfumua kama kawaida.
 
Back
Top Bottom