spanerboy
JF-Expert Member
- Sep 14, 2020
- 655
- 1,460
ok mkuu nitapitiaTazama hapa before hauja fanya maamuzi yakoView attachment 1572815
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ok mkuu nitapitiaTazama hapa before hauja fanya maamuzi yakoView attachment 1572815
Beyonce ni African American. Ana asili ya Africa. Kwahiyo Beyonce sio mzunguHello wana MMU. Ujana bwana una mambo mengi mengine ya kitoto kabisa.
Umeshawahi kusikia kuhusu Skin Surgery au Plastic Surgery?
Wakati tunaingia ujanani wengine tulikuwa tunakebehi wadada wetu wa Afrika kuwa sio warembo na tulipokuwa tunaona Wazungu wajicream,na wamepiga make up tukajua hawa ndo warembo sasa.
Tukathubutu mpaka kuwa na ndoto za kuoa uzunguni pasi kujua kuwa wazungu ndo hawana urembo wowote tulidanganywa kwa makeups zao za kiteknolojia na njia za kisayansi za kuongeza urembo kwa skin surgery na plastic surgery nyingine ili kujitotorisha
Ndo maana nikawa najiuliza mbona hawa wazungu wa kike hawazeeki kina Beyonce toka mdogo mpaka leo anaonekana ka binti kumbe ni skin surgery ndo zinawasaidia kuonekana warembo kumbe ni vizee.
Kwasasa nadiriki kusema madada zetu wa kiafrika ni warembo kwanza hawatumii hayo ma modification wala maskin and plastic surgery...
Sasa sitaki tena kuwa na ndoto za kuoa mzungu they aren't real, I appreciate my African beautiful black skinned girl.....!
Womens of Today na Nyie tuwaulize Why DO YOU use make ups si mbaki tu na uzuri wenu!!
Anajua kikurya?Beyonce ni African American. Ana asili ya Africa. Kwahiyo Beyonce sio mzungu
Sasa hivi ndio wanapambana juu chini na Afrika iwe hivyo kwa mwamvuli wa haki za binadamuTazama hapa before hauja fanya maamuzi yakoView attachment 1572815