Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

Kama inakuumiza chomoa...
Waliopo leo madarakani wamefugwa na JPM na ni zao lake.
Waliojaa bungeni ndio yeye kawajaza.
Kwa hiyo hakuna jipya unalosema zaidi ya umattyakko tu wacha hizo.
 
TULIMCHUKIA SANA TENA SANA NA BADO TUTAMCHUKIA MILELE NA MILELE KWA UKATILI MKUBWA ALIOTUFANYIA AMETUHARIBIA NCHI KATUACHIA KUNDI LA HOVYO HOVYO NDIO LINALOPITISHA MAAZIMIO YA HOVYO
 
Mwanzilishi wa Mikataba ya hovyo ni Magufuri baada ya kuwakataa wapinzani kwenye serikali yake matokeo yake ndiyo haya unayoyaona leo,hakuna mwanadamu aliyekamilika.
Wakati wa msoga wapinzani walijazana bungeni lkn bado mikataba mibovu ilisainiwa, unasemaje hapo?
 
Magufuli alituchapa viboko tukiwa ndani ya ardhi yetu kwa muda, huyu wa sasa ametuletea nyapara wajomba zake toka Arabuni waje kutuchapa viboko ndani ya ardhi yetu milele.

Kwa hali hii kumkumbuka Magufuli ni haki.
Nasoma tu Leo

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Mazingira yapi chadema wametengeneza mpaka rais kutafuta security kwa wajomba zake? be specific
 
Hata rais Samia auze hewa/pumzi yetu kwa waarabu. Kamwe siwezi kulikumbuka jitu fedhuli, kiuuaji, tekaji, na kupiga watu risasi kama jiwe.

Ikiwezekana lifariki tena huko liliko.
 
Madhaifu ya serikali ya sasa kamwe hayatafuta uovu wa magufuli. Yule alikuwa shetani. Wakati tunalaani hawa madalali wa bandari zetu na maliasili nyingine, bado na kamwe hatutasau uovu uliotendwa au na magufuli mwenyewe au na wasaidizi wake naye akafumbia macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…