Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

Tulimchukia Hayati Magufuli bila sababu za msingi, sasa tumetambua kuwa alikuwa sahihi, yanayofanyika sasa ni aibu

Kama inakuumiza chomoa...
Waliopo leo madarakani wamefugwa na JPM na ni zao lake.
Waliojaa bungeni ndio yeye kawajaza.
Kwa hiyo hakuna jipya unalosema zaidi ya umattyakko tu wacha hizo.
 
Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.

Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.

Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .

Inaumiza sana
TULIMCHUKIA SANA TENA SANA NA BADO TUTAMCHUKIA MILELE NA MILELE KWA UKATILI MKUBWA ALIOTUFANYIA AMETUHARIBIA NCHI KATUACHIA KUNDI LA HOVYO HOVYO NDIO LINALOPITISHA MAAZIMIO YA HOVYO
 
Mwanzilishi wa Mikataba ya hovyo ni Magufuri baada ya kuwakataa wapinzani kwenye serikali yake matokeo yake ndiyo haya unayoyaona leo,hakuna mwanadamu aliyekamilika.
Wakati wa msoga wapinzani walijazana bungeni lkn bado mikataba mibovu ilisainiwa, unasemaje hapo?
 
Magufuli alituchapa viboko tukiwa ndani ya ardhi yetu kwa muda, huyu wa sasa ametuletea nyapara wajomba zake toka Arabuni waje kutuchapa viboko ndani ya ardhi yetu milele.

Kwa hali hii kumkumbuka Magufuli ni haki.
Nasoma tu Leo

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Hata ikitokea Rais SSH asichagulike, kwa matusi yenu CHADEMA a vinyongo mlivyovijaza rohoni mwenu, na hasira mlizokuwa nazo....Hamchaguliki 2025. Nipo tayari Kuichagua CCM ibakie twende vivyohivyo badala ya kupoteza mida kuwapa kura chama kilichotengeneza mazingira yaliyompeleka Raisi kutafuta security ya Uchagizi kwa wajomba zake. Hakika kwa hilo zimshangai.....nina uhakika haya yasingetokea kama sio uhasama wa CHADEMA digital .....

Mvune mlichokipanda

R.I.P Comrade, hawajui walichokifanya
Mazingira yapi chadema wametengeneza mpaka rais kutafuta security kwa wajomba zake? be specific
 
Hata rais Samia auze hewa/pumzi yetu kwa waarabu. Kamwe siwezi kulikumbuka jitu fedhuli, kiuuaji, tekaji, na kupiga watu risasi kama jiwe.

Ikiwezekana lifariki tena huko liliko.
 
Ukweli ni kuwa kwenye misingi madhubuti ya kudhibiti rushwa , mikataba mibovu na upigaji wa ajabu ajabu hayati alinyoosha hii nchi. Maana tulianza kusahau haya maugoro.

Sisi sababu tulishazoea janjanjanja hasa Mbowe na baadhi ya makamanda tukachukia. Tukawa tunahitaji wajanja wakae madarakani.

Leo hii tunashuhudia madudu ambayo yanamuumiza mwannanchi wa kawaida huku Vigogo wa CCM wakifurahia .

Inaumiza sana
Madhaifu ya serikali ya sasa kamwe hayatafuta uovu wa magufuli. Yule alikuwa shetani. Wakati tunalaani hawa madalali wa bandari zetu na maliasili nyingine, bado na kamwe hatutasau uovu uliotendwa au na magufuli mwenyewe au na wasaidizi wake naye akafumbia macho.
 
Back
Top Bottom