Hapana Hapana Hapana.
Tafadhalini CHADEMA, Utumiaji wa Msamiati huo Ukome mara moja----- umeleta na kutoa mwanya mkubwa sana na hata kumdhoofisha Raisi kuweza kutufikisha hapo.
Hakuna genge wala Gang Tanzania yeyote ile Tanzania inayoitwa hivyo. Kuna Kabila la Wasukuma.
Ndio maana hata kwenye hili suala, pamoja na kuwa CCM haipaswi kuchagulika, Nyie CHADEMA hampewi hata hiyo prop! Kwa sababu za Ajenda na Sera zenu za Utenganishi.....wacheni uharakati wakati wa suala hili.
These madudus that we are seeing has direct relations to the Environment you have created for years! Mmemdanganya Mama kuwa hapendwi na yeye kwenda kutoa upendeleo huko apate kujaza marobota ya kununua Uchaguzi The damage you have done is Immeasurable. Stop it!