Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Aisee aisee nna jamaangu ye hajaoa ila kamvuta huyo mwanamke kiaina, anapigiwa video call kuliko hata call za conference za zoom, Jamaa kakatazwa kuhangout na mimi, jamaa hawez sasa sababu me ni mwanae wa nguvu, tunaweza enda sehemu kidume nimeagiza bucket ya mambo yetu mara video call ya whatsapp inaingia akipokea ujue kama zile bucket ni zaid ya moja inabid nizifakamie alone jamaa anatoka spidi ya jeti anawah home .

sample ya maongezi ya video call

Mwanamke : Hallow beb, Uko wapi ? na kwa nani ?
Jamaangu : Hallow nipo ilala , nipo kwa jamaangu.

Mwanamke : Ebu mwonyeshe jamaako kwene video call nimwone.

Jamaangu: Yupo ndani huko upande wa pili kuna ishue anafanya, (inabid jamaa adanganye sababu nikionekana mimi ni balaa)

Mwanamke: Unarud saa ngapi ? Naomba urudi sasaivi

Jamaangu: Kiongozi me naenda, anaaga kinyonge ila anachomoka spidi ya jeti,

NAMWONEA HURUMA JAMAANGU KAFANYWA ZOMBIE, ivi wanawake wanafurahia nini jamaazao wakiwa mazombie kiasi hicho ujue watu au washkaji zako wanakuwa hawakwambii ila wanajua we ni zombie na mwisho wake wanajua ni mbaya ila wanasubiri mpart ways ndio waseme, ila mimi mwanamke hatak kunisikia kisa namwambia jamaa ukweli...
Aisee pole yake kabisa............ Sidhan kama watawezana
 
Nakazia hapa,wengi huwa wanabugi kwa kutoyajua haya.
Utakuta mtu anaoa mwanamke ambaye walikutana naye mlimani city kwenye maeneo ya matumizi halafu anatumia nguvu nyingi ili akubaliwe anategemea atatulia naye maishani hiyo ni kujidanganya.
Mwingine anatafuta pisi kali ambaye alikuwa anagombaniwa na mabrothermen mbalimbali kisha anatumia nguvu ya pesa kumuwin akitegemea atadumu naye maishani wazae watoto na kuzeeka wote,hii ni kujidanganya.
Baada ya hapo wakishatendwa wanajifanya kuja kutoa somo na ushuhuda mbele ya sisi kaka zao kwamba ndoa si kitu muhimu.
Yaani kitu ambacho kilianza kufanywa tangu enzi na enzi miaka hiyo kabla hata akina yesu hawajazaliwa halafu leo hii eti vije vigundue vichalii vilivyozaliwa mwaka 1992 kwamba ndoa sio chaguo sahihi kwa binadamu.
Hakika hii ni kichekesho cha karne
Mambo yanabadilika sana ndugu...hili ni wimbi, linakua.....its a generational myopia
Unadharau hvyo vi chalii vya 92...ila angalia effects kitaqni...kipindi hcho cha BC kulikua na single mothers wangapi na saa hii wako kiasi gani...
Jaribu kufikiria knye perspective yao...you will come with better comment than this
 
Back
Top Bottom