Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Huo ni uduanzi umeandika mkuu unafika 55 mtoto ana 10 years yani anakuona babu kabisa akianza kukusumbua lawama zinaenda kwa mama ukifika 60 show inapungua wife anakazwa unaanza oooh! Mambo ya ndoa sio poa the best age ya kuoa ni 25+

Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Kupata watoto hakuna uhusiano wowotee na ndoa.

#YNWA
 
Kuzaa hakuna uhusiano wowotee wa ndoa.
Nina Miaka 31 Nina watoto wawili (6Yrs + 2Yrs) na sasa nataka wa tatu.

Huyu wa kwanza nakaa nae nyumba moja wapili ndio nambembeleza mama ake aniachie.
Ndugu zake wameniambia kama sina mpango wa kumuoa mama mtoto basi nikamkomboeml mtoto.

Na mwakani nataka wa 3.
Kila mtu na mama ake, si unajua kuwa asilimia 60 ya akili ya mtoto anarithi kutoka kwa mama.
Hivyo nachanga akili tofauti tofauti..!!!

KUOA HAPANA.
KUZAA LAZIMA.
KULEA LAZIMA

#YNWA
Nyie ndo mnaharibu utaratibu mzuri ambao Mwenyezi MUNGU aliuweka.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hata vitabu vitakatifu havijamuelewa mwanamke......huna uwezo wa kudeal na mwanamke.....kama ni uchawi anakuroga kabla wewe hujamroga....huwezi kula peke yako mkuu
Idiot! Wewe ndio unaonekana dhaifu na huwezi ku-deal na mwanamke. Acha kupotosha na ku-undermine vitabu vya dini kuwa vimeshindwa ku-deal na mwanamke. Idiot again we dingi!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]https://jamii.app/JFUserGuide love
 
Cheki WhatsApp Status yake. Iliniuma sanaa mimi kama kijana wa Klop.

View attachment 1622469
Huyu ni mwana tena mwana hasa.

Mwaka 2018 alikuja na taarifa kuwa anataka kuoa.

Nilimkataza kabisaa na kumwambia umri wako (30 Yrs) sio umri wa kuoa. Tuendelee kula maisha ki single boy "Tutaoa mbelee sanaa huko" ila pia kuoa sio lazima kwahiyo "ikiwezekana HAKUNA KUOA".

Mwana akani crush sanaa na kuanza kunihubiria, mara ana "quote" vifungu vya biblia, Nikamwambia "Paulo pia alitoa muongozo, kama hutaki kuoa basi Kausha tu".

Baada ya wiki nikaletewa kadi ya mchango. Nikajiseemea nisiwe snitch "nikatoa mchango".

Tukaenda kupiga bia harusini.

Baada ya harusi mwamba akatutenga kabisa "Sijui alipigwa biti na mkewe" Ikawa bar hatokei, kwenye kitimoto hatimbi. Kifupi alitutenga wana ikawa yeye yupo na mkewe tu.

Sasa yamemkuta na ndoa imevunjika. Kwasasa walewale masela aliotutenga ndio tumekua kimbilio lake.

FB na Whatsapp anachafua sanaaa zile "wall za Mark, Z".

Kila siku wana tukawa tunasoma status na post zake huko social media akilalamika.

Baada ya kuona anaweza kujiua wana tuliamua kum "reseque". Kwasasa karudi kwenye chama la masela tunaendelea kunywa bia nae kwa furaha kabisa.

Sisi hatuna hiyana "tunampa kampani maana hatujui nini kimetokea na Wala HATUJAWAHI KUULIZA" (hatupendi single side judgement, na isitoshe sisi furaha yetu ni kumuona mwamba yupo vizuri basi).

Kwenye chama chetu cha kupiga bia huyu ni wa pili.
--------------------------------------------------------
Wa Kwanza alioa May/2019 na aliachana na ndoa July/2020 baada ya kutoka safari na kurudi home ghafla (by surprise) akakutana na aliyekua X wa mkewe ambae kila siku alikua akimkanya juu ya mawasiliano nae wapo juu ya kitanda chake alichonunua TShs. 700,000/= wanagegedana.

"Yaani mwana JF ununue kitanda laki 7 + gharama za usafirishaji halafu kwenye ile laki 7 yako unamkuta boya tuuu yaani boyaa kambinjua mkeo dog style..!!!""

Hii ilikua jumapili, juma3 mwana akashindwa kwenda kazini.

Aliko akawa hajulikani.

Ikabidi wana tumtafute sanaa baada ya kupewa taarifa kazini kwake na familia yake ""We Mr. Liverpool mbona **** kazini haonekani, kwake hakuna mtu na simu hazipatikani line zote?""

Kumbe yupo..!! alikimbilia gheto la mwana wake wa chuo ambae inaonekana alirudisha urafiki baada ya kuoa na kututenga sisi wanywa bia.

Tulimrudisha home, tukakuta mke hayupo na nguo zake hazipo (inaonyesha alikimbia kimya kimya).

Huyu mwana ilibidi auze kila kitu mpaka baadhi ya nguo zake.

Akaenda kupanga na kuanza kununua vitu upya (alisema vile alivyouza vina laana) na vina element za yule aliyekua mke wake..!!!

Kwasasa karudi chamani.

Chama chetu, tukisikia tu "mwamba fulani aliyekua chamani akakimbia chama, ana matatizo hua tunamtafuta wenyewe tumuokoe"
----------------------------------------------------------
Kuna scenario nyingi sanaa huku mtaani, hizi ni general rules tu kadhaa.
Ukitaka nilete exceptions hapa Dah nitajaza saver ya JF.


Tuendelee kunywa bia
Tuendelee kutafuta hela
Tuendelee kula nyama.

KUOA UKIWA BELOW 37 NI UOGA WA MAISHA.

UKIANZA TU KUMUELEWA MWANAMKE UJUE UNAKARIBIA KUFA.

Na kuna kuumizwa hukoo...

Halafu Arnesal Taarifa zenu kutoka kwa AstonVilla TUNAZO.

Take care

#YNWA
NAUNGA MKONO HOJA.... HAKUNA KUOA below 40 wanawake ni mufilisi mashetwani wakubwa
 
Hawa sio wanaume ..ni vijana wa kiume waliokamata ela kidogo na kuleta ulimbukeni...sijui wazazi wao wangesema hivi kama hata kuzaliwa wangekua wamezaliwa,,ah a
Unaonekana umevumilia na unavumilia saana kuchapiwa
 
Idiot! Wewe ndio unaonekana dhaifu na huwezi ku-deal na mwanamke. Acha kupotosha na ku-undermine vitabu vya dini kuwa vimeshindwa ku-deal na mwanamke. Idiot again we dingi!
Punguza kum "attack" mtoa hoja, just discuss the hoja on the table na sio kum "abuse mtoa hoja"

Haya turudi kwenye hoja....

Unajua hata huyo mwamba niliyemuongelea hapo kwenye bandiko/nyuzi nae alimuamini sanaa mwanamke?

#YNWA
 
Wanawake ni wengi kuzidi wanaume...... asiwe na presha atapata anaejitambua


Kuna msemo unasema "Usikosee kuowa" utajuta
 
Unaonekana umevumilia na unavumilia saana kuchapiwa
Unajiita baba jayaron unaogopa kuchapiwa...unamatatizo wewe unadhan wazee walikua wehu waliposema kitanda hakizai haramu....ukute hata huyo jayron kuna kidume huko kibeba maji kinajua unalea mwanae...fala we
 
Unajiita baba jayaron unaogopa kuchapiwa...unamatatizo wewe unadhan wazee walikua wehu waliposema kitanda hakizai haramu....ukute hata huyo jayron kuna kidume huko kibeba maji kinajua unalea mwanae...fala we
😂😂😂 ungeona kopi zangu usingeandika uzi huo.... Alafu ukoo wetu hauna kawaida ya kupambika damu zisizotuhusu.
timiza wajibu wako gonga show hakikisha ufulii sio kukubali kixembe kuchapiwa
 
😂😂😂 ungeona kopi zangu usingeandika uzi huo.... Alafu ukoo wetu hauna kawaida ya kupambika damu zisizotuhusu.
timiza wajibu wako gonga show hakikisha ufulii sio kukubali kixembe kuchapiwa
Ah ah mdogo angu kaa na wajomba utashauriwa...ndoa changa au mkeo anakuektia....yakikukuta utarudi..
 
Mama mzazi wa jamaa kaniambia nimtafute mchungaji jamaa akaombewe jamaa kagoma, just imagine we kama ni mdogo ake ukimwomba msaada wa fedha anakwambia umpigie demu wake atoe go ahead yeye ndio atume au anamtumia demu wake ndio akutumie wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kmmmk
[emoji1] [emoji1] [emoji1]....zombi premium
 
Back
Top Bottom