Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #141
Amen.Nikiacha pombe ntakunywa nini na nyie!?
nikiacha bange nitavuta nini na nyie!?
tubaki humohumo.
Tupige maji.
#YNWA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amen.Nikiacha pombe ntakunywa nini na nyie!?
nikiacha bange nitavuta nini na nyie!?
tubaki humohumo.
Unaacha mbachao kwa msaala upitao.Zote izo ni laana za kuisaliti monde ambayo umepambanayo since unamkatia uyo manzi, umefanikiwa kumpata unaanza kujifanya unaacha...
2022 tutahitaji MREJESHO TAFADHALI.Pamoja na uzi wako wote msimamo wangu uko pale pale "MWAKANI NAOA"
Hao unaowaona kwenye ndoa wanamachungu hasa moyoni.Na sisi tuliooa tukiwa na miaka 23 na mpaka leo tunaishi vizuri pamoja na changamoto ambazo hata waliooa wakiwa na miaka 50 wanakutana nazo tusemeje.
Itoshe kusema watu watakuambia wanawake Ni wabaya kwa kukupa mifano mitano ya watu ambao ndoa zao zimeshindikana au zinamatatizo makubwa, lakini watajifanya hawazioni ndoa mia moja ambazo ziko poa including ndoa za wazazi au ndugu zao wenyewe.
Mende akiangusha kabati Ni habari kubwa ila kabati likiangusha mende no one cares
Hivi ukubwa wa akili unaupima wewe au sisi third part?Exactly, Hawa Ni watu ambao wanafikiri kuona Ni kunategemea umri, Ila wanashindwa kujua kuwa kuoa kunategemeana ukuaji wa akili ambao Kila mtu yuko tofauti.
Unakutana na kijana ana miaka 30 lakini ukimuangalia vizuri unagundua kuwa Hana akili ya kuishi na mwanamke. Lakini yeye anaona wanawake ndiyo wanamakosa
Hiyo whatsapp status umeielewa?MAJUTO hayapo mbali......Nakuhakikishia MAJUTO YAKO hayako mbali.
Sasa nyie wanawake si ndio mnaotuumiza?Hivi kwa nini Wanaume ndiyo wanaongoza kwa mipasho ya kuumizwa? Ni nadra kukuta Mwanamke analia lia hapa JF kwamba katendwa, ...
Kuzaliwa kuna uhusiano gani na kuoa?Hawa sio wanaume ..ni vijana wa kiume waliokamata ela kidogo na kuleta ulimbukeni...sijui wazazi wao wangesema hivi kama hata kuzaliwa wangekua wamezaliwa,,ah a
1. Kwahiyo kwakua baba na mama zetu walifanya "so and so" na sisi tuige?Hata mimi ndio nimejiuliza baba zao na mama zao wangekuwa na mawazo kama haya hao wangefikaje duniani na kuanza kuropoka huu utopolo.
Ni beer after bia.Naungana na mtoa post ,na popote alipo naomba aendelee kunywa bia bill kwangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja siku uambiwe mkeo yupo guest ufe tuje kuandika RIP humu.Nakazia hapa,wengi huwa wanabugi kwa kutoyajua haya.
Utakuta mtu anaoa mwanamke ambaye walikutana naye mlimani city kwenye maeneo ya matumizi halafu anatumia nguvu nyingi ili akubaliwe anategemea atatulia naye maishani hiyo ni kujidanganya.
Mwingine anatafuta pisi kali ambaye alikuwa anagombaniwa na mabrothermen mbalimbali kisha anatumia nguvu ya pesa kumuwin akitegemea atadumu naye maishani wazae watoto na kuzeeka wote,hii ni kujidanganya.
Baada ya hapo wakishatendwa wanajifanya kuja kutoa somo na ushuhuda mbele ya sisi kaka zao kwamba ndoa si kitu muhimu.
Yaani kitu ambacho kilianza kufanywa tangu enzi na enzi miaka hiyo kabla hata akina yesu hawajazaliwa halafu leo hii eti vije vigundue vichalii vilivyozaliwa mwaka 1992 kwamba ndoa sio chaguo sahihi kwa binadamu.
Hakika hii ni kichekesho cha karne
JF Banaa...Duu ilikua ni ingie kwenye ndoa mwezi ujao nimeghairi itajulikana mbele ya Safari maana demu mwenyewe amesha Anza masharti eti niache pombe niokoke Kama yeye wakati Mimi nasali Roman Catholic atanite Bora niwe baharia tuu ivi naanda Uzi was kumpiga chini ngoja nizibue akili na k vant
Haya proof reader.Heading na content ni clockwise na anticlockwise
Sorry mkuu, nimefungua uzi ukafungukia kwenye comment moja nikadhani ndio thread yenyewe. Niwie radhiHaya proof reader.
Una degree au Masters ya grammary?
#YNWA
Mimi nimeshavuka level hizo eti nife kisa mke wangu amepelekwa guest na mtu ni ujinga na ulimbukeni wa mwaka 70 huko.Ngoja siku uambiwe mkeo yupo guest ufe tuje kuandika RIP humu.
#YNWA
watoto kama nyie huwa tunawaita BASTARDS....mlitokea nje ya taratibu ndo maana
Mkeo akiwa Instagram, Facebook, Snapchat halafu anatupia mapicha kila siku unategemea nini?Wanaume wengi tuna mitazamo ''hasi'' kuhusu ndoa, na hii inatokana na yale wanayoyashuhudia kwa wenzao.
Mimi pia ni shuhuda wa ndoa iliyoambatana na harusi kubwa kweli iliyovunjika ndani ya miezi kadhaa na bila hata wanandoa kuzaa mtoto mmoja
Mitandao ya kijamii, miziki na Umasikini vimechangia sana kuharibu ndoa kwani hivyo vinarahisisha na kuchochea sana uzinzi sikuhizi.
Na uzinzi umekuwa sababu kuu ya kuvunja ndoa.
Bila kuwa na Hofu ya Mungu kweli isiyo na unafiki, pamoja na kujitambua ''NDOA'' zitabaki kuwa ''MADOA''
Utatumia muda na pesa za watu kuandaa harusi hewa.
Sent from my Infinix X624B using JamiiForums mobile app
Bado hujajibu swali binti.watoto kama nyie huwa tunawaita BASTARDS....mlitokea nje ya taratibu ndo maana