Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

Tulimwambia achana na mambo ya kuoa, hakusikia cheki yaliyomkuta

"Vijana wengi hatujui kwann tunaoa"

Mkuu umeongea point ya msingi sana boss.

Tupo very emotional mpka tunashindwa kujiuliza kwanini nipo na huyu mtu??

Future yangu na huyu niliyenaye ipoje??

Nini nahitaji katika ndoa hii??

Vijana tumekuwa wajinga kweli kuendekeza sababu za kijinga za kuingia katika ndoa.

Yaani unaingia katika mahusiano, Cha kwanza unawaza ngono.

Muombe Mungu ujue kusudi lako (Purpose) katika maisha kisha jinoe kila kukicha kuishi kusudi hilo na haya mengine yatakuwa kama nyongeza.

Siwezi ruhusu mahusiano yanipotezee focus yangu katika maisha.
Kweli kabisa mkuu...

Kengne tunapaswa kuoa wanawake ambao tunalingana nao mawazo Ili kutimiza ndoto zetu kwa pamoja..

Sio, mume ndoto yake kwenda kusini na mke ndoto yake kwenda kaskazini...apo lazima kutatokea reaction.
 
Nakazia hapa,wengi huwa wanabugi kwa kutoyajua haya.
Utakuta mtu anaoa mwanamke ambaye walikutana naye mlimani city kwenye maeneo ya matumizi halafu anatumia nguvu nyingi ili akubaliwe anategemea atatulia naye maishani hiyo ni kujidanganya.
Mwingine anatafuta pisi kali ambaye alikuwa anagombaniwa na mabrothermen mbalimbali kisha anatumia nguvu ya pesa kumuwin akitegemea atadumu naye maishani wazae watoto na kuzeeka wote,hii ni kujidanganya.
Baada ya hapo wakishatendwa wanajifanya kuja kutoa somo na ushuhuda mbele ya sisi kaka zao kwamba ndoa si kitu muhimu.
Yaani kitu ambacho kilianza kufanywa tangu enzi na enzi miaka hiyo kabla hata akina yesu hawajazaliwa halafu leo hii eti vije vigundue vichalii vilivyozaliwa mwaka 1992 kwamba ndoa sio chaguo sahihi kwa binadamu.
Hakika hii ni kichekesho cha karne
Swadakta...👍
 
Mama mzazi wa jamaa kaniambia nimtafute mchungaji jamaa akaombewe jamaa kagoma, just imagine we kama ni mdogo ake ukimwomba msaada wa fedha anakwambia umpigie demu wake atoe go ahead yeye ndio atume au anamtumia demu wake ndio akutumie wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787] kmmmk
Ili kukombolewa kwenye jambo lolote ni lazima muhanga awe tayari.

#YNWA
 
Kwa jinsi wake za watu wanavyoslide kwa kasi ya 5G kwene dm zetu wakitaka faraja kwa vile wanavyofanyiwa na waume zao me naogopa sana, as for the moment mwanamke mmoja nlikuwa napiga keshaolewa kanizamia dm anataka nitafute siku nikamkaze mumewe mvivu kukaza na huyu mwanamke nshamkwepa sana toka aolewe daaah, anasema mvua ya mjini imempa mihemko ? Najiuliza maswali mengi ivi na mimi mwanamke wangu anajinyegesha kwa mabaharia hivyo hivyo ? Daaah inauma kwakweli
Utakuta ni uongo.
Ukute anakazwa hasaa ila ni tamaa tu ina muwaka.

#YNWA
 
Daaah...kweli bro..tunywe bia na tuchome nyama kwanza.[emoji4][emoji4]
 
Duu ilikua ni ingie kwenye ndoa mwezi ujao nimeghairi itajulikana mbele ya Safari maana demu mwenyewe amesha Anza masharti eti niache pombe niokoke Kama yeye wakati Mimi nasali Roman Catholic atanite Bora niwe baharia tuu ivi naanda Uzi was kumpiga chini ngoja nizibue akili na k vant
 
Duu ilikua ni ingie kwenye ndoa mwezi ujao nimeghairi itajulikana mbele ya Safari maana demu mwenyewe amesha Anza masharti eti niache pombe niokoke Kama yeye wakati Mimi nasali Roman Catholic atanite Bora niwe baharia tuu ivi naanda Uzi was kumpiga chini ngoja nizibue akili na k vant
muulize kati ya yy na pombe nani kamkuta mwenzie?
 
Sema nn ujue, inategemeana sana na ninyi wenyewe.
Ila mm nilioa (bila kutarajia) mapema saanaa nikiwa at just 25 years...na tuko poa tu mungu anatusimamia vyema
Kweli mkuu inategemea mtu na mtu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nacheka sana na comments za wanaume humu

Alafu nikwambie kitu shunie kuna codes nimeziminya ningefunguka vyote mhuni wangu angemind sababu angejua tu ni yeye moja kwa moja sababu mandez wa ivyo ni wachache sana ila wapooo
 
Back
Top Bottom