King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
Kweli kabisa mkuu..."Vijana wengi hatujui kwann tunaoa"
Mkuu umeongea point ya msingi sana boss.
Tupo very emotional mpka tunashindwa kujiuliza kwanini nipo na huyu mtu??
Future yangu na huyu niliyenaye ipoje??
Nini nahitaji katika ndoa hii??
Vijana tumekuwa wajinga kweli kuendekeza sababu za kijinga za kuingia katika ndoa.
Yaani unaingia katika mahusiano, Cha kwanza unawaza ngono.
Muombe Mungu ujue kusudi lako (Purpose) katika maisha kisha jinoe kila kukicha kuishi kusudi hilo na haya mengine yatakuwa kama nyongeza.
Siwezi ruhusu mahusiano yanipotezee focus yangu katika maisha.
Kengne tunapaswa kuoa wanawake ambao tunalingana nao mawazo Ili kutimiza ndoto zetu kwa pamoja..
Sio, mume ndoto yake kwenda kusini na mke ndoto yake kwenda kaskazini...apo lazima kutatokea reaction.