Tulimzika rafiki yetu pembeni kabisa ya nyumba yake ili mkewe asiiuze

Kama katokea kwl kaskazn mkuu kabur linahamishika kabsaa maana Arusha niliwai kushuhudia kabur la familia likiamishwa kwanza la babu bb sjui nan kama nne lakn cha ajabu muuska akutoboa mwaka nae kafark kwa pgo za ajabu
Kuna sheria, kaburi haliwezi kuhamishwa hadi miaka si chini ya 30 ipite.

Sasa miaka 30 watoto si washakuwa watu wazima
 
Iwekwe sheria ya kutoruhusu kuzika popote.

Mipango miji unafanya nini?
 
Sawa mkuu nimekupata
 
Iwekwe sheria ya kutoruhusu kuzika popote.

Mipango miji unafanya nini?
Hiyo sheria mbona ipo tu,kwa DSM ni manispaa ya ubungo na kigamboni tu ndio wanazika popote
 
Kuna jamaa hivyo hivyo walikuwa na ugomvi na mkewe, alifariki ghafra tu, ndugu wakahisi mkewe kamfanyia hujuma....walimzika pembeni ya mlango kabisa.
Safi sana ndio dawa yao akiamka akiliona kaburi anajuta
 
Kuna kiwanja kinauzwa kijijini kwetu kipo karibu na soko lengo langu ninunue nijenge ghala na nyumba ila tatizo ni kwamba mwenye nyumba kaburi lake lipo ndani ya kile kiwanja hili jambo linanitisha
 
Makaburi ya afrika yana muzimu😄😄😄
 
Bagamoyo yule jamaa mwaka juzi hapa ,walizika kwa vile jamaa aligoma kujenga kwao halafu waliweka ili yule mwanamke asiuze ile nyumba.
 
Alikuwa mdogo tu,below 30yrs!
Kwa Ile Nyumba tu kuwa nayo kwa umri wake ni hatua kubwa.
Hiyo ya kwamba hajajenga kwao ilikuwa janja janja tu ya kuzuia hiyo Mali isipotee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…