Kuna sheria, kaburi haliwezi kuhamishwa hadi miaka si chini ya 30 ipite.Kama katokea kwl kaskazn mkuu kabur linahamishika kabsaa maana Arusha niliwai kushuhudia kabur la familia likiamishwa kwanza la babu bb sjui nan kama nne lakn cha ajabu muuska akutoboa mwaka nae kafark kwa pgo za ajabu
Sasa miaka 30 watoto si washakuwa watu wazima