Tulio single tujuane

Tulio single tujuane

Nina gundu kila demu ninayetongoza kabla sijala mzigo anasafiri, na ndio inakuwa mazima.

Na sina hela ya nauli maana naishi kwa shemeji yangu mkoloni.

Kwa hiyo niko single ila sio kiviiiile, nipeni mbinu mabaharia.
toka kwa shemeji kwanza bro
 
Nipo single tokea September last year..and to be honest,it's pretty sweet,I'm loving it.
Yes, usingo una raha saana, ila mapenzi ni mtamu zaiidi hasa ukibahatisha mtu hasa, ila ukipata lonya lonya, moyo wako ni km umeuweka rehani.

Kwa mtu makini hasa hasa, lazima ahitaji mwenzie kiukweli, ila changamoto hao watu wenyewe ukiokota, unaweza jikuta umekamata jini likakunyonya damu.
Kuna watu wachache (mahusiano)wanaenjoy saana haya maisha ndugu yangu, wengi wako kwenye mahusiano wanapata tabu.

So hapa ndio tunarudi kule kwenye kupata mtu sahihi,
Ila asili ya mapenzi hasa ni starehe,
Adam a.s si alikuwa peponi yule, lakini mungu akaona huyu anahitaji mwenza pamoja kwamba peponi kuna raha zote, hata pepo ya kesho still tutakuwa na wenzetu.

Nimeishi maisha yoote, u single una raha yake, ila ukiwa makini na imani kidogo ipo moyoni lazima utatamani kuwa na mwenza, changamoto sasa ukitizma ya watu, moyo unakufa nguvu[emoji23]

Sent from my COR-AL10 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom