Tulioacha wake zetu kwa sababu ya usaliti waliotufanyia tukutane hapa

Sijui mimi ni mjinga au sielewi! Hivi kuna kutaniko la mwanamke na mwanaume kwa wakati huu lisilo husisha condom?
Inakuwaje mtu mke wa mtu unaenda kavu na mtu?
Kati ya vitu wake za watu hawapendi kukiskia ni kutumia condom, labda wale Malaya wanaojiuza ndio hutumia condom lkn sio wake za watu.
 
Weee jamaaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo ni shetani achana naye ukiludiana naye atakupiga matukio ili ufe.hiyo ni tabia .Pole
 
Bado unampenda mkeo wewe! Bado hajakutoka moyoni!
 
Ninawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.Mrudie mkeo.Ina maana wewe hakuwahi kuzini?Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?Kishakuambia ni bahati mbaya,amekuomba msamaha. Msamehe mrudiane.
Bahati mbaya ni ipi hapo? Kuchepuka, kushika mimba, mtoto kutoka mweupe au kulalamika kuwa aaminiwi? 🤷‍♂️🤷‍♂️🤷‍♂️
 
🤣🤣🤣 So unataka kumdolishia?msamehe bana alipitiwa tu,ila mwandikishane kuwa hakuna mali yako yoyote itamuhusu,uone reaction yake,nyie ni wazazi msamehe mlee mtoto wenu meembo🙏
Wataenda kuuana hao. Kwa walipofikia, wabaki hivyo hivyo
 
Ww nae ni muhuni tu kwa hyo mlikutana wote wahuni.
 
Anamtoto sasa , au alitoa.
 
Ninawaza tu,ni ndoa ngapi zingevunjika kisa mwanaume kuzaa nje.Mrudie mkeo.Ina maana wewe hakuwahi kuzini?Ingetokea wewe ndo ungezaa nje,ndoa ingevunjika ?Kishakuambia ni bahati mbaya,amekuomba msamaha. Msamehe mrudiane.
Tatizo ni kupishana kwenye koldo na kitoto ambacho si chako; simba dume anapovamia mji, uuwa vitoto vyote vya dume mwenzake, naye kuanzisha uzao wake.
 
Kurudiana nae hapana, inawezekana aliamua tuu kuzaa kwa makusudi.
 
Kuna friend wangu ni mromani ndoa yake ilivunjika , ila yake yeye mkewe mromani mwenzie aliamua tuu kwenda kwa jamaa mwingine.
Uzinzi upo popote tuu. Wengi wanakuwa ni waigizaji wa dini tuu.
 
Sasa ulishidwa kumuonyesha mdogo wako.
 
Ah sii unaona mwanawane....hapo moral of the story ni kuwa na hela = more options. Ulikuwa unajienjoy na mnyarwanda ukasahau huyo boya.
Mwanaume bwana ukiwa na hela yaani wanawake wee ni kuchakata tuu wala huna atashida ya kuoa.

Ila bwana wee ebu fanya kitu kimoja. Huyo former wife ebu fanya kumrudisha nyumbani hapo. Mke kutombwa sio kitu cha kumaindi mzeya. Mbususu sii bado ipo pale pale. Hela unayo sasa shida iko wapi? Ameshajifunza huyo akirudi hapo nakwambia ata tigo atakupa😜
 
Sijui mimi ni mjinga au sielewi! Hivi kuna kutaniko la mwanamke na mwanaume kwa wakati huu lisilo husisha condom?
Inakuwaje mtu mke wa mtu unaenda kavu na mtu?
Mimi nashangaa sana,
Kuna jamaa mmoja aliambukizwa HIV na mkewe.
Hivi mtu unaenda kuzini na mtu ambaye hakuusu, ujali kama ana HIV wala nini
Daaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…