Barbiedoll
JF-Expert Member
- Apr 7, 2023
- 772
- 2,150
Au vipi🤣🤣🤣🤣##Kataa ndoa
##Twenzetu na Elon Musk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au vipi🤣🤣🤣🤣##Kataa ndoa
##Twenzetu na Elon Musk
😂😂Baadhi yenu ni wapumbavu akiwemo na huyo ndugu yanguSasa ulishidwa kumuonyesha mdogo wako.
Tena utakuta , binti anang'ang'ania mali kabisa za mdogo wenu kisingizio cha mtoto watafanya nnAisee ..so sad !.. unamsaidiaje sasa huyo kijana hayo ni mambo makubwa sana kuyakalia kimya.Ya Mungu mengi, what if kama mdogo ako atatangulia kuondoka duniani, je mtaweza kutunza watoto wasio wa kwenu na hali mnajua kabisa?
Ujue vijana sometime ni wajinga sana hasa hawa wa leo hii hivyo kuna muda lazima wasaidiwe hata kwa lazima!!!!
Kama ulishamwambia anakogoma basi sawa.wasiwasi wangu huenda kukatokea maafa ktk malumbano kuhusu huyo mtoto,,, nilishaongea sana inatosha Ivan, wakiuana tutazika🙌🙌wanaume mko wajinga sana mlisisitizwa mtumie akili kuishi na mwanamke, huwa hamzingatii hiyo sentensi
DuuuWazee walikuwa wajinga sana
Umeona eeMnakera sana
Mwanamke akicheat huwa inatuumiza sana wanaume tunawapambania sana
Siletagi story za abunuwasi, wanaume nyie ni wajinga mnaviona viashiria ila mnapuuza, ndg zenu wa karibu wanawaonesheni lkn mnafumba macho yakiwakuta ndo mnaanza kujiliza liza, komeniTena utakuta , binti anang'ang'ania mali kabisa za mdogo wenu kisingizio cha mtoto watafanya nn
Kapeace
Kama ndo hivyo sio kweli unataka kuchangamsha uzi tuu
Yeye anafanya kazi na biashara zake huko kwao, huku anakuja tukimis ana tuuMbona hutaki kuishi na mnyarwanda?
No kurudiana nae, kashazaaa ni usaliti mkubwa sanaAh sii unaona mwanawane....hapo moral of the story ni kuwa na hela = more options. Ulikuwa unajienjoy na mnyarwanda ukasahau huyo boya.
Mwanaume bwana ukiwa na hela yaani wanawake wee ni kuchakata tuu wala huna atashida ya kuoa.
Ila bwana wee ebu fanya kitu kimoja. Huyo former wife ebu fanya kumrudisha nyumbani hapo. Mke kutombwa sio kitu cha kumaindi mzeya. Mbususu sii bado ipo pale pale. Hela unayo sasa shida iko wapi? Ameshajifunza huyo akirudi hapo nakwambia ata tigo atakupa😜
Mie niseme ukweli tuu...wengi wetu wenye hiv tuna roho ya visasi yaani tunajua kabisa huyu namuambukiza makusudi. Acha tuu tukachomwe motoni maana kama mie ndio kabisaaaMimi nashangaa sana,
Kuna jamaa mmoja aliambukizwa HIV na mkewe.
Hivi mtu unaenda kuzini na mtu ambaye hakuusu, ujali kama ana HIV wala nini
Daaa
Unamaanisha nn.ni kiben 5
Wee bwana usaliti kitu gani tatizo yenye mntaka kuishi in an ideal world. No such thing mate. Mke kutombewa kupo tuu alafu wee kinakuuma nini mkeo kutombwer? Wee mbususu sii unapata sasa shida iko wapi?No kurudiana nae, kashazaaa ni usaliti mkubwa sana
Mwanamke akikufanyia kitu kibaya afu ukasamehe anakuona kama boya hivi.Rejea hapa: Msamehe kama kakiri kosa lake na anaonesha kujutia, Maandiko yanatuasa kusameheana, Msamehe na usahau yote aliyotenda ila narudia tena ILA NAMAANISHA KWAMBA USIJE KAMWE UKARUDIA KUISHI NAE PAMOJA. Baba yangu aliwahi kuniambia kwamba iwapo tu we kufanya hivyo 'UTAKUFA'
Yale maneno yako ya mwisho uliyoyaandika kwa herufi kubwa mimi binafsi nimekuelewa sana hali uliyopitiaUmeona ee
Ni kweli asee ni vyema wanaume wakaenda kulima watoto wao ili wajue kama ni wao au la.Kuna wanawake washenzi ila na mwanaume anakuwa poyoyo zaidi ni kama tahira tu asiyetema udenda, mi navojua mwanaume inabidi ukae chonjo shtua mara moja kawapime watoto, na ukisoma wengi humu walipata dalili lkn wakapuuzia
Siku akilambwa risasi uje kutoa ushuhudaKuwa karibu na mke sio guarantee ya kutopigwa tukio, hawajitambui tu.
Tumeshuhudia Mara kibao tu mume na mke Wana ofisi moja kariakoo wanatoka wote home wanashinda wote kwenye biashara zao na wanarudi wote home wakiwa kwenye range yao.
Siku mwanangu alivyoenda kufunga mzigo kariakoo jimama jeupe lenye mshape wake likamzimia mwana na kubadilishana namba.
Jimama Sasa hv Safari za mkoani haziishi linamzuga mmewake kuwa linakuja mkoa kutafuta wateja wapya wa bidhaa kumbe anaishia guest nzuri na kupakuliwa na mjeshi wangu.
Na kila likija linakuja na mizawadi na mapochopocho ya kila aina badi ni full mserereko.
Unajua nn? Mwana alimuuliza siku moja kwa nn unasaliti kambi jimama likamjibu " kijana kula maisha hizi ndoa zinakinaisha wkt mwingine, kwake anapata kila kitu isipokuwa kuna muda wanatamani kupata changamoto ya mjegeje sehemu nyingine"
Pia muda wote kushinda na husband wake inampotezea mood ya kumiss na kumuona mume wake Ni wakawaida hivyo hujihisi hayupo sawa kwa maelezo yake.
Hv tunapoongea mwana yupo kumalizia kupauwa nyumba yake kwa mshiko anaopewa na jimama Kama payback ya kumsugua vizuri.
Mume yy analinda frem kariakoo akiamini kweli jimama linatafuta wateja wapya huku mkoani.
Aisee dunia ina mambo mengi na hayaishi, usijiapize kabla halijakukuta.
Kukaza kote huko kumbe bado unampenda hujamove on, akiongeza kasi ya kuomba msamaha unamsamehe huyo.Nipo sasa nimerudiana na mdada wa kinyarwanda, sijui kama anampango wa kuolewa huko kwao sijui ila nipo nae sasa japo tunakutana siku moja moja sana.
Ila napanga siku my ex wife anikute na mrembo wa kitutsi japo kanizidi urefu kidogo, si unajua watutsi walivyo warefu.
Nataka siku anikute nae nimringishe mwezi uliopita nilijaribu ila sikufanikiwa coz maeneo tuliokuwepo kulikuwa na watu wazima na wengine nafaamiana nao so nikaona noma.
We acha tuu kakaYale maneno yako ya mwisho uliyoyaandika kwa herufi kubwa mimi binafsi nimekuelewa sana hali uliyopitia
Kumsamehe NO ni kwa asilimia 1000akiongeza kasi ya kuomba msamaha unamsamehe huyo.
Sio kuchepuka kazaa nje ya ndoa.Kitanda hakizai haramu.
Hivi kweli unamuacha mke kisa kuchepuka tuuu!! Hebu kuweni serious na maisha.