Johnson12345
JF-Expert Member
- May 29, 2023
- 207
- 498
- Thread starter
- #321
Mkuu huyo ni mkeo au??Brother niliwaza sana sehemu nilipokosea nikakosa, yaani ile unajichinguza a mpaka z sehemu ulipokesea unakosa!
Baada ya miaka kumi hivi nilikuja kumuuliza yeye binafsi nilipokosea alikiri hakukua na kosa toka kwanbjy hata yeye mwenyewe hakujua nini kilichomtokea.
Mwanamke ndugu yangu mwache awe mama, awe dada awe mwana lakini nje ya hapo Aisee chukua tahadhari sana.